Lipumba ndio mpinzani wa kweli!!!!!!!!!!!!Mpinzani wa kweli ni Mbowe tu
Kamati ya siasa ya mkoa haiwezi kukaa bila kuwepo kwa mkuu wa mkoa. Itabidi akubali uanachama ili aweze kuhudhuria vikao vya mkoa.Sasa si imeandikwa Mkuu wa Mkoa AMBAYE ni mwanachama wa CCM. Mghwira si mwanachama wa CCM si lazima kuhudhuria.
Hiyo maana umeitoa wapi au umeamua kutafsiri unavyoona inafaa? Maana lazima kungekua na kifungu kinachofafanua kama ikitokea vinginevyoSomeni vizuri
Hapo inasema
"Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanachama wa ccm"
Maana yake ni kuwa kama huyo mkuu wa mkoa hatotokana na ccm (si mwana ccm) basi hatohudhuria vikao hivyo
Mkuu jaribu kusoma tena pale juu utaona neno".....ambaye ni mwanachama wa ccm"Hiyo maana umeitoa wapi au umeamua kutafsiri unavyoona inafaa? Maana lazima kungekua na kifungu kinachofafanua kama ikitokea vinginevyo
Mbona anayo???Mnatakiwa kumpa kadi ya CCM kabla ya kuapishwa. !
Familia yako ndio iliochoka na CCM ila watanzania tunayo imani na C M hadi hapo tutakapopata mbadala wake ambao sio leo au kesho utapatikana kwa upinzani huu wa design ya akina Lissu....Mi sijaelewa na sihitaji kuelewa.mambo ya ccm sihitaji hata kuyajua kwa namna ninavyokichukia hiki chama.watanzania kiujumla tumechoka na ccm
...Kwani ALIHAMA CCM LINI?Kweni anna mughwira kahamia ccm lini?
Mnatakiwa kumpa kadi ya CCM kabla ya kuapishwa. !