Recent content by LABI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Sipingi mgomo wa madaktari ila naangalia nani anapata madhara zaidi kwa hili. Pia,nawaza kila mtu akitumia taaluma yake akagoma itakuwaje? Hebu tujiulize,serikali ipandishe mishahara ya madaktari halafu wahasibu na Viongozi wengine wa sekta ya afya wagome.nani atawalipa hao madaktari?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Anasema serikali haihusiki na mateso ya Ulimboka,hata kichaa anaweza kugundua kuwa wanahusika moja kwa moja.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Ni ukweli huo ndugu nami nina ushahidi zaidi ila ukisema lazma upotee. Kajipanga sana huyo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Binti wa kinigeria aliyefanya mapenzi na nyani afariki

    Tamaa zinawaponza madada zetu. Tulieni make mnatusababishia mabalaa.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano unapovunjika nani hasa mwenye hasara?

    anayeumia ni yule aliyeinvest sana.kuweni makini hasa wanaume katika hili. Wanawake wa sasa hawapendi kirahisi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    tumjibu tafadhali.atapungukiwa nguvu za kiume akiendelea?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Majina ya bar

    ccm bar.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba ushauri wa haraka iwezekanavyo

    usiende kwa mganga make ndo takuwekea mabalaa zaidi. mwombe MUNGU
Back
Top Bottom