Recent content by Lab

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Ni lugha tu mkuu, naamnisha walioitikia hata baada ya kutajwa jina tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Swali je hizo salam zao wananchi walizipokea? hakuna shaka kwamba wananchi wengi hawakufurahishwa na hilo na walijua hilo lingetokea. Kwa aliyekuwa uwanjani aliyeshangiliwa wakati watu wako kwenye msiba huyo ndiye mfariji wao na salam zake zimepokelewa na wenye msiba kuliko hao walioongea na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kuandaa watoto kumshangilia Rais Walimu mnapata faida gani?

    Wakulaumiwa ni Wazazi, wameshindwa kuwaleo watoto wao kwa kuwafuatilia maeneo wanayokwenda, na wengi wao hawajui hata watoto wao walikua huko. wasilaumiwe waalimu wala wanafunzi.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tabia za watanzania ndio zinafanya wayaone maisha magumu

    Dunia imebadilika na Jamii zimebadilika ni vyema kuelewa hivyo na vizuri kujitathimini mwenyewe,nchi yako na kutathimini wengine ili kupanua uwezo wa akili yako kufikiri na kutatua changamoto, ili unapopata muda kutafakari juu yako,familia yako na nchi yako na yawengine upate majibu sahihi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Serikali imekuwa ikikusanya mapato kinguvu kwenye magari na kusingizia ni faini

    Ndugu hawa jamaa hujakutana nao, wakitafuta pesa, ukiweka wavu kwenye taa za nyuma ili zisipasuke kirahisi au umeweka spear trye ya kuchonga kwenye garage kosa, unaambia hio sio orginal kutoka kwa mtengenezaji. elimu na haki ndio dawa.
  6. L

    JamiiForums Tanzania USA Government na EPA hawataki Afrika na Tanzania iendelee ndio maana...

    Hio ndio kazi waliyotumwa na watanzania kutetea maslahi ya Tanzania, lakini dunia inaendeshwa kibiashara hivyo hatupaswi kujitenga bali kutumia akili yetu kukataa mabaya. Tatizo la viongozi wetu ni wizi wanaiba na wanaenda kuficha huko kwao, wanaua wananchi wao na wanawafanya masikini ili...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Kwanini joto la kisiasa liko juu sana kama uchaguzi kesho?

    Lazima raisi ajue matakwa ya wananchi, kama uchumi umeanguka hakuna jinsi kila mmoja atatafuta sababu, na atakayebeba lawama ni raisi na raisi ni mwanasiasa na joto la siasa linaanzia hapo. ukweli ni kwamba ukimnyima bubu chakula au kumtesa ataongea kwa jinsi anavyoweza, Raisi anawezakuwa ana...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    Matokeo hutangazwa na vyombo vya habari yakishahesabiwa, kwani kila kitu kinakuwa wazi na mawakala wako kila kituo wanahesabu na kutuma matokeao kwenye center zao za kuhesabia kura.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa serikali ya mitaa wa Jimbo la Arusha mjini wametoa tamko la pamoja kutoshirikiana Gambo

    Hapo umesahau Watendaji wa serekali wanatokana na rais aliyechaguliwa na wananchi na hao wanyeviti wamechaguliwa mojakwamoja na wananchi, hivyo wanaojulikana kwa wananchi ni wenyeviti na ili mwakilishi wa rais afanye kazi ktk eneo lolote ni lazima apate kiungo cha kumuunganisha na wananchi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

    Hakuna makamala ila tatizo hatukufundishwa kusoma na kuelewa, hapo hakuna kujenga chama ni kujenga utawala binafsi ili kutimiza matakwa binafsi, chama ni taasisi na lazima kiwe kikubwa kushinda mtu, ila kiongozi yeyote anayesema ningewafukuza nusu au lazima wafanyakazi wote wa serekali wajue...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

    Ili nchi iendelee na wewe pia ili upate maendeleo ni lazima serekali na jeshi ijitenge na vyama vya siasa kwani vyama vya siana vina agenda mbili kuu kushika madaraka na kuleta maendeleo, lakini maendeleo hua wanalazimishwa na wananchi sio kipao mbele chao, lakini serekali na jeshi wao wana...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

    Winners are not people who never fail, but people who never quit!!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mweusi apigwa risasi hata baada ya kutii amri ya kunyanyua mikono

    Uhalifi na chuki havijali rangi,kabila wala dini hili ni fundisho kwa viongozi watz kuhakikisha haki inapatikana na wasihuribiri kugawa watu na chuki ktk jamii.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

    Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Polisi kamateni hata gari la Rais

    Hawa wanabambikia watu makosa hasa barabarani, ni vyema akaweka wazi askari nao kuwajiba kwa makosa wanayoyafanya.
Back
Top Bottom