tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Joto la kisiasa limezdi kupanda kana kwamba nchi inaenda kwenye uchaguzi ,
Binafsi nimeshindwa kufaham sababu yake ni nini!!
Je ni ubora wa serikari kufanya kaz vilivyo na wananchi kuongelea ubora wake ??
Ubora wa mheshimiwa baba jesca kutumbua majipu watu wanampongeza
Na kushangaa utendaji kaz wake ulivyotukuka?
Ubovu wa ukawa kutoka nje wabunge wa ke wakati naibu Tulia anafanya kaz yake vyema mjengoni?
Au ubora wa ukawa kukosoa serikali na maovu kuonekana kwa wananchi na sasa wanayajadili.
Ni kokosea au kupatia kwa mheshimiwa baba jesca kupiga marufuku sukari kuingia, sasa tunajadili faida zake au hasara zake zaid?? Achilia mbali kaongezeko kaa bei sisi walalahoi huku kitaa tunakamudu!!
Je ni wale vilaza (nimenukuu)pale Udom kula hela zetu wakati hawana sifa?
Au kwa sasa tunajadili wabunge wetu wanavyotutetea mjengoni kwa ujumla wao sisi walala hoi!!
Joto liko juu kisiasa?
Kwa ujumla wake mtizamo wako ni nn??
Kufauru kwa serikali kiutendaji au kufeli ??
Huku mtaani tunawapongeza au tunalalamika??