Recent content by LAAM RASHIDI

  1. L

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    JAPO HAPO KWENYE UVUNGU SIYO SAAANA MAANA WAPO AMBAO WAMEINGIA WAKO NA FLAT FOOT
  2. L

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kujiunga na jkt kwanza unatakiwa uwe na damu salama,sukari mwilini iwe sawa,presha iwe sawa,usiwe na ulemavu wowote,usiwe umewahi kufanyiwa oparesheni kubwa zile,usiwe umewahi kuzaa mtoto,MIGUU LAZIMA IWE NA UVUNGU.
  3. L

    Taratibu niliyopewa iliyonishangaza pindi nitakapo kutembelea hifadhi ya GOMBE

    Unajua kwa majumuisho ya gharama za kufika kule siyo kubwa sana maana wanashauri wataalamu kuwa angalau ukikaa kule siku mbili ndiyo unapata nafasi nzuri kuwaona wale sokwe,kwa siku hizo mbili unaweza kutumia si chini ya 100,000 maana kulala ni 11000 kwa usiku mmoja,chakula sahani 5000, ada ya...
  4. L

    Taratibu niliyopewa iliyonishangaza pindi nitakapo kutembelea hifadhi ya GOMBE

    Kukodi ni 700,000 siyo 70000,elewa utalii siyo lazima twende kikundi kama vile wanavoendaga watoto wa shule
  5. L

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Nimekwambia nahitaji kuwa askari?
  6. L

    Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

    17 yrs madam! you madam!!
  7. L

    Taratibu niliyopewa iliyonishangaza pindi nitakapo kutembelea hifadhi ya GOMBE

    Tunakosa watu wabunifu sana kwenye idara zetu za kibiashara za serikali kiasi cha kujikuta tunakusanya kidogo na kutumia kingi
  8. L

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kuna mzalendo mmoja hapa mtaani alimpelekea mzee mmoja mjeda mstaafu fomu ile ya albino kipindi kile mwezi wa saba wakati wakizijaza yule mzee mwezi ule wa saba alimwambia yule kuwa mambo yenu yameahirishwa hadi mwezi wa kumi yule dogo akipima kwanza kipindi kile ni wa saba akamuona yule mzee...
  9. L

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    LTN CNL WA KWATA kasema wanasiasa siyo wa kuwaamini hahaha ni kwamba hujui kuwa siasa ndiyo inayoongoza dunia? Hata masoja wakienda kozi mbalimbali siasa ni somo linalowahusu muda mwingi kozini,tena unatakiwa ujue hakuna mahali siasa zimetukuka kama kwenye majeshi ya nchi,kila jambo lifanyikalo...
  10. L

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Unajua ni vile vijana wengi hatufuatilii mambo mengi ya kiserikali wengi mmeweka akili na mawazo yenu kusikia jkt tu watasema nini!!?? ILA KWA ANAYEFUATILIA HILI ATAJUA KUWA MAMBO NI MWEZI HUU HASA KWA KUUNGANISHA DOT,MWEZI WA NANE MWISHONI TBC TV WAZIRI WA AFYA ALIZUNGUMZIA SUALA LA WALE VIJANA...
  11. L

    Taratibu niliyopewa iliyonishangaza pindi nitakapo kutembelea hifadhi ya GOMBE

    Watz wote siyo wateja wa aina ya bank wanayoitaka sisi tufanyie malipo,wew huoni kuwa wanajikosesha mapato mengi kwa utaratibu ngumu kama hizi hasa kwa watalii wa ndani?
  12. L

    Taratibu niliyopewa iliyonishangaza pindi nitakapo kutembelea hifadhi ya GOMBE

    Kuna haja gani mpaka niwe na akaunti ya crdb,kama Mimi ni mteja wa bank nyingine ina maana siwezi kuitumia kuweza kunifikisha hifadhi?
  13. L

    Taratibu niliyopewa iliyonishangaza pindi nitakapo kutembelea hifadhi ya GOMBE

    Hawapokei pesa mkononi lakini pia ni lazima mtalii wa ndani uwe na kadi ya CRDB BANK,kwa maana hiyo inakupasa kufungua akaunti benki hiyo ndipo uweze kwenda kutembelea hifadhi,lakini pia usafiri wa kukutoa pale bandarini mjini kigoma ni ama ukodi boti kwa shilingi 700000 au upande meli au boti...
  14. L

    Chuo cha Diplomasia (Centre for Foreign Relations) kinaitendea haki nchi yetu?

    Wadau, Hebu tukichambue chuo kile kinachofahamika kwa kupika wanadiplomasia wa Tanzania na nchi jirani, ni kweli kinaitendea haki nchi yetu hasa kwa kuwatoa watu wenye weledi na ujuzi wa fani husika?
Back
Top Bottom