"Wazazi Bila aibu mnakaa mnajadili na kupanga bei ya Binti Yenu. Kisha kijana naye anakuja kutajiwa bei Kisha ati mnashushana bei mara Milioni nne. Mwanaume anasema Nina Milioni Mbili unusu, ooh mnamwambia tatu mwisho kama mnauza tukutuku."
Nilikuwa na tabia ya kubakiza kwa makusudi ili nikile kama kiporo asubuhi.
Na kwa pilau pia. Nikila iliyotoka jikoni nakinai haraka tofauti nikila kesho yake.
Zamani wazazi walimwandaa mtoto wa kiume aje kuwa msimamizi wa familia kwa kumpa kipaumbele kwenye elimu/ujuzi wakimalizia na urithi/mali kabla hata hawajafa.
Saivi tumebanwa na usawa nguvu inaelekezwa kwa wote na mtoto wa kiume anakosa maandalizi makubwa na anayostahili.
Mtoa mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.