Recent content by La Biblicana

  1. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    Hospitali ya rufaa ni sehemu ya wagonjwa mahututi, sishangai wakifariki. Sitegemei kusikia mtu kafiwa AAR, maana pale watu wanaenda na mafua, wakiwa na cancer wanaenda Muhimbili.
  2. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufahamu ist with 4WD na isiyo na 4WD .

    Enhee, nafikiri we umeelewa kama mimi. That simple
  3. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufahamu ist with 4WD na isiyo na 4WD .

    We jamaa sijui ndio kichwa kitupu au ndio kupenda ubishi usio na akili. Hilux Single Cabin haina 4WD na hata yeye hajasema ina fourwheel, kwa hiyo lazima itazidiwa uwezo na IST ikiwa hiyo IST ina four wheel drive. Au ni nini kigumu kuelewa hapo?
  4. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tumefanya mazungumzo na Jeshi la Polisi, mikutano yetu itaendelea kama kawaida pia nimetoa magari 5 kwa kampeni ya uandikishaji

    Mshaurini vizuri lakini kuwa nafasi ya ubunge inaondoa nafasi ya kujimwambafy.
  5. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

    Kuna chochote basi cha mabaharia kufaidi? Tako lipo kama Tanga Stones
  6. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Vitanda bora vya sofa kwa bei ndogo kuanzia laki mbili tu, hebu vicheki

    Ukiona kitu kinakuwa covered na mashukashuka na urembo ujue ndani kuna siri nzito. The day sofa langu seating room lilifumuka ndio nikajua kuwa sidiria na gagulo zilizoisha zinaweza kuwa reused
  7. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, Vincent Mashinji ni mdaiwa sugu BOA Bank

    Mtoto wa kiume una kiherehere kama mama wa kiswahili. Yaani kwa kupenda umbea hata hukukumbuka kuvaa nguo, ni CBA na sio BOA. Nenda pole pole basi, na wanadaiwa wengi tu.
  8. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais Mstaafu Kikwete yasikitishwa na habari zinazoenea, yasema kuwa hotuba ya Kikwete haikumlenga mtu

    Sidhani kama tumeshawahi kuwa na ngonjera na mashairi majukwaani kama sasa
  9. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanaonekana hawana hamasa ya kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019?

    Mambo ya nchi hii mimi nimemwachia Mungu.
  10. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Hili sasa tatizo.
  11. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Ni shilingi ngapi?
  12. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    How? Gari lako linageuka boti likikutana na maji?
  13. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais Mstaafu Kikwete yasikitishwa na habari zinazoenea, yasema kuwa hotuba ya Kikwete haikumlenga mtu

    Haaa! Kwa hiyo unamshutumu kuwa anajimwabafy?
  14. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

    GLOBAL CITIZEN, Is it legal in our country? Maana siku hizi kwenda jela kwa sababu fupi fupi kupo nje nje. Kwamba napokea fedha lakini silipi kodi
  15. La Biblicana

    JamiiForums Tanzania Walimu salamu zenu kutoka kwa Proffesor Ndalichako

    Kwanza ni wengi mno jamani...serikali iwapunguze ili tubane matumizi ya mishahara na marupurupu yao. Kama hujaelewa ndio ushaelewa
Back
Top Bottom