Recent content by kyvoo01

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Masanja: Japo nimeokoka ukinijibu Fyongo na mimi nakujibu Fyongo, mambo ya kugeuza shavu lingine hayapo!

    Habar mtoa mada, Tunashukuru kwa ujumbe ulioleta kwenye hili jukwaa, binafsi ningependa kujua huyu masanja hicho cheo cha Uaskofu amekipata wap? Au kuna utaratibu gan wanapitia watumishi kupata hicho cheo maana naona kuna uwezekano mkubwa wa kuwalisha watu/ waumini mafundisho yasiyo sahihi kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Mtoa habar unauhakika na ulichoposti au ndo vya twita unatulea humu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Kiukwel moja ya watu makin ambao hawayumbishwi na mihemko ya wachache wenye nguvu. Mcha Mungu, mtu wa haki
  4. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Uzi wa simba lakin utopolo wako tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA Wanaume

    Hahahah...ndo maana nayapenda sana majimama...niyape raha.
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM yapongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata Lema

    Kweli wajinga mpo wengi...ndo maana hatuendelei jifunze kusoma basi 2 co kila kitu unashabikia ikifika tym yetu nahic utaacha kuingia kabisa hii site... CHADEMA 4 CHANGE!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mkuu wa Mkoa ana mamlaka gani ya kukifunga chuo?

    sija amini kama kuna watu wapumbavu kama ww unayesupport ujinga..nahic shule yako ndogo..ww ndo uliyechora zombie juzi kati pale...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    Naomba niwambie 2 wadau Mh Lema ni jembe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Jamani embu tusaidiane link maana naona huu mtandao una hila na mimi...
Back
Top Bottom