USHAURI KWA Wanaume

USHAURI KWA Wanaume

mwanaume kutafuta hela kwa lengo la kuwavutia wasichana ni upungufu wa akili, na mwanamke asipotafuta hela kwa kumtegemea mwanaume ni ukosefu wa akili.
 
Boflo, una hasira na wanaume? Sasa kama mwanamke anazo na amekupenda anakuambia sitaki utoke nje wala kufanya kazi....wewe kazi yako ni kunifurahisha mimi kitandani tu, kila utakacho nitakupa. Ya nini kufanya kazi ama utafute hela wakati za bure zipo?

iyo sloopu na ita jaa kukutokea puani napia ni kama umeme waluku.
 
Last edited by a moderator:
usitafute feza kwa ajili ya wanamke utafirisika,we tafuta fedha ikusaidie kimaisha
 
iyo sloopu na ita jaa kukutokea puani napia ni kama umeme waluku.


Kwa mjinga sawa, inaweza kumtokea puani. Lakini kama mtu una malengo yako kwa nini ikutokee puani? Mwanamke anazo na anakutaka na pia yuko radhi akutunze, yaani wewe utakaa tu bila kujishughulisha kisha unatunzwa? Si ujinga huu? Mtu na malengo bwana. Kwa sababu wewe huwezi piga miti kila kukicha lazima utapata utapia mlo (kuchoka) upende usipende.
 
Wanaume tafuteni hela kwa bidii sana,zile
zama za kuuza sura na kulambalamba lips
zimeisha.Maisha ni magumu hayana
shortcut,wengi wetu mnapenda tu Bata
wakati hamna hela wala vyanzo sustainable
vya mapato mnaishia kuliwa Kabaang kwa
tamaa za maisha yasiyo yenu.. Wanawake wa
kizazi hiki wamejanjaruka mbaya,
wanaangalia mtu mwenye feza ,unashinda Gym kujazia misuli wakati
Wallet imetuna kwa Business Cards badala ya noti .Wanawake hawataki tena 6Packs
wala slim body,wanataka uwe na hela na
maendeleo .Usiuze sura, hata Chatu sura anayo

kwi kwi kwi hapo napompendaga Boflo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom