Recent content by kyusa guy

  1. kyusa guy

    Kama unatumia GB WhatsApp soma hapa

    Kwnn wasiipge Ban Gb watsapp yenyewe sis tunakosa gan kuchagua tukipendacho jaman, ila nawaaminia ma IT wa GB watsapp hawatokubal kupoteza kizaz chao
  2. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Msaada mkubwa sana huu mkuu, naufanyia kazi nashukuru sana🙏
  3. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Hapa kaka nashukuru sana kwa muongozo itanijenga sana hii na wakat ndo hakuna kusubir ,ila kiukwel mi msaada wa mwanamke wangu kifedha sitegemei kbsa wanasema hela ya mwanamke ya kwake
  4. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Niliajiriwa kwa professional bro
  5. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Sjakuelewa apo kwenye Kada au sisi kwa sis
  6. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Asante sana ntazingatia sana icho uku nikiendelea kupalangana huku mtaa
  7. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Ndo cha msingi mkuu hakuna kupoa
  8. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Umetisha maana Kuna muda ninawazua mpka inakuja pombe kichwani co tna mawazo yakujenga asnte sana
  9. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Uo umri nshatoka bro, saiz tunakimbizana na Dusco tu mengne yatatutoa kwnye focus
  10. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Nina experience ya miaka 5 katika mgod wa Almasi Mwadui shinyanga ,ila naona kutafuta kazi kwa sasa ntadelay sana
  11. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Asante sana kwa muongozo mzuri na pia hongera sana kwa hatua hio, mi nssf nnayo Lakin nilipanga kwa sasa nisishughulike nayo kabisa
  12. kyusa guy

    Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

    Nipo nafanyia kazi ilo, nashukuru kwa mrejesho familia
Back
Top Bottom