Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

hii list mbn simuoni waifu?au siku

kama una wife, anza kuvaa ndom ukis3x naye
maana atagongwa nje kama hana akili nzuri
Wife ninae ndio ila mi neno langu kwa mwanamke nkihisi nakujua Ana dalili za kusalit , Uwa namwambia tumia Kinga unilinde mi na watto Maan kupigiwa kupo tu Ata ukiwa nacho, ipo wazi
 
mimi nilifukuzwa kazi... nikanunua pikipiki nikajiunga na Taxi mtandao hivi sasa natengeneza kipato mara 3 ya kile nilichokuwa nalipwa kwa mwezi.

nafanya kazi muda ninao jisikia, sisimamiwi na mtu. hapa ndipo nilipo gundua kuwa ajira ilikuwa inani dumaza. na ajira za Tanzania zimetofautiana sentimita chache sana na utumwa.

kama una NSSF pakuanzia unapo Tuliza akili...kufukuzwa kazi sio mwisho wa maisha.​
Asante sana kwa muongozo mzuri na pia hongera sana kwa hatua hio, mi nssf nnayo Lakin nilipanga kwa sasa nisishughulike nayo kabisa
 
Nina experience ya miaka 5 katika mgod wa Almasi Mwadui shinyanga ,ila naona kutafuta kazi kwa sasa ntadelay sana
Kama una profession pita pita hapo Nyanzaga siku si nyingi wataanza kuajiri, ila pia unaweza ukaangalia nafasi za kujishikiza Mradi wa wachina wa SGR kuanzaia hapo seke mpaka Mwanza Mjini, Lot mpya ya Tabora au Wa wazungu EACOP Bukombe, Singida, Nzega na Sojo Tabora.
 
Asante sana kwa muongozo mzuri na pia hongera sana kwa hatua hio, mi nssf nnayo Lakin nilipanga kwa sasa nisishughulike nayo kabisa
chukua nssf yako ndugu yangu. na kwa bahati nzuri ukikamilisha vigezo vyote pesa zako unapewa ndani ya wiki 2. tatizo sijui ulikuwa kada gani kuna kada nyingine mkataba ukiisha unatakiwa utafute kazi nyingine pesa hupewi. na wakikupa wanakupa kwa kikokotoo😭😭😭​
 
Kama una profession pita pita hapo Nyanzaga siku si nyingi wataanza kuajiri, ila pia unaweza ukaangalia nafasi za kujishikiza Mradi wa wachina wa SGR kuanzaia hapo seke mpaka Mwanza Mjini, Lot mpya ya Tabora au Wa wazungu EACOP Bukombe, Singida, Nzega na Sojo Tabora.
Asante sana ntazingatia sana icho uku nikiendelea kupalangana huku mtaa
 
chukua nssf yako ndugu yangu. na kwa bahati nzuri ukikamilisha vigezo vyote pesa zako unapewa ndani ya wiki 2. tatizo sijui ulikuwa kada gani kuna kada nyingine mkataba ukiisha unatakiwa utafute kazi nyingine pesa hupewi. na wakikupa wanakupa kwa kikokotoo😭😭😭​
Sjakuelewa apo kwenye Kada au sisi kwa sis
 
Asnte bro Nina mke na mtoto mmoja na tumepanga ila mwana mama nae Ana ajira Lakin sijiskii na aman kbsa

Kama una mke ujue ni vita:

- Reaction ya mke itategemea sana kwa na sababu ya wewe kusimamisha, kama ni uzembe tegemea shida.

- Hata kama mke ana ajira, usikae tu ukafikiri atakusaidia kifedha, ndugu yangu, hilo sahau.

- Weka saikolojia ya mwanamke sawa, usilie lie, pambana jitahidi utimizie vitu vidogo vidogo.

- Usishinde Nyumbani tu hapo na Dada wa kazi, toka mda ule ule unatokaga, mke asikuache na kukukuta hapo.

- Lazima mke abadilike, na hana kosa wala, usitegemee kupewa tamu kama awali, atakuwa na mawazo na anaweza asiwe na hisia kabisa.

- Usiwe na gubu na kelele kwa mke za kulazimisha kuheshimiwa, nakueleza kama Kaka yako, **** mahusiano kati ya kutimiza wajibu wako kama Baba kifedha na kuheshimika.

- Maombi ni muhimu sana, ila achana na manabii wa hovyo nenda ibada za kueleweka, na kama wewe muislam watakuja kukushauri.
 
Back
Top Bottom