Recent content by Kyokola

  1. Kyokola

    JamiiForums Tanzania Kuwa first born sometimes ni shida

    Asante kwa kunisahihisha mkuu
  2. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    [emoji23][emoji23] kazi iendelee, naona kibao kimewageukia. Huku utasikia mke wangu kanisaliti, hatujakaa sawa mwingine kadakwa anachoma nyumba ya ex boyfriend. Hatujatulia huku mwingine mke kasepa home basi inakua tafrani tupu.
  3. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Mwanamke ni mvumilivu mno, lakini akifikia point of no return ni ngumu mno kumshawishi arudishe majeshi.
  4. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Hii rate ya wanaume kulalamikia wanawake humu jamvini inazidi kuongezeka kila kukicha.
  5. Kyokola

    JamiiForums Tanzania Kuwa first born sometimes ni shida

    Wanaitwa deputy parents au wazazi waandamizi [emoji3]
  6. Kyokola

    JamiiForums Tanzania Kuwa first born sometimes ni shida

    First borns are automatically deputy parents [emoji23] ukiwa mzaliwa wa kwanza yani wewe unakua ni mzazi mwandamizi [emoji3]. This is Africa, ndo tunaishi kwenye hizo falsafa.
  7. Kyokola

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

    [emoji3]
  8. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Safi, anzeni upya. Mkivuka hapo wote mtakua makini maana kila mtu atajua thamani ya ndoa yake na hatataka kuipoteza kijinga. Mara nyingine misuko suko katika ndoa ndo inayoleta uimara.
  9. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

    Uko sahihi kabisa
  10. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Mnapendana nyie [emoji23]hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
  11. Kyokola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie [emoji23]. That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
  12. Kyokola

    JamiiForums Tanzania TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Alikua muungwana sana, mwenye kujali utu na hekima . Mungu awape faraja wote walioguswa na msiba huu.
  13. Kyokola

    JamiiForums Tanzania Katrina, Hidaya nk, anayetunga majina ya vimbunga ana watoto wa kike tupu?

    Nimecheka sana aisee [emoji23][emoji23]
  14. Kyokola

    JamiiForums Tanzania TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Sad [emoji17] news. Mungu awafariji familia yake
  15. Kyokola

    JamiiForums Tanzania Samaki waelea ufukweni Dar. Serikali yachunguza chanzo…

    Hofu yangu ni hao samaki kuingizwa kitaa na kuuzwa. Maana raia tunanunua tu pasipo kujali. Ukikuta wamepangwa utachagua tu pasipo kujua kama wameokotwa na hawajavuliwa.
Back
Top Bottom