Recent content by kyi

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco naomba mniingizie Umeme,nimeripia tangu tarehe1/4/2020,nikija ofisini kweni majibu ni kuwa corona imesababisha Vifaa vichelewe naomba Umeme Jamani, nyumba yetu ipo ndani ya mita 10tu, Nipo Tukuyu kkk Hapa jirani Kabisa na Mbuja english medium please
  2. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Walimu wakatwe mishahara tuwaongezee Wahudumu wa Afya

    Wivu tuuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Online trading: Je, zinafanya kazi kwa uaminifu?

    Uoga noma sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Kijiji cha Ndaga kiko chini ya ulinzi wa Polisi tangu Jumatatu baada ya wananchi kuwakataa wenyeviti wa CCM na kuwavamia usiku

    Aisee hali inayoendelea pale ndaga sio yenyewe mpaka kufikia alhamisi hapakua swali kabisa,polisi walikuwa wengi mara msafara wa mkuu wa mkoa,nikajiuluza sasa mkuu wa mkoa anakwenda kuongea na wananchi au polisi maana wananchi wote wamesepa,nyuma ya siti niliyokaa kulikwepo na mzee aliyepandia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi unyanyasaji huu dhidi ya walimu ni hujuma dhidi ya Rais,au ni maelekezo kutoka juu?

    Kutuhamisha hovyohovyo kutupereka vijiji vya mbali
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mh Jafo tazama kwa makini Hamishahamisha ya waalimu wilayani Rugwe

    Uhamisho wa kutoka sekondari kwenda msingi imeendekea kuwa kero hapa wilayani, Rugwe mwalimu anahamishwa sekondari moja na kupelekwa shule ya msingi mbali na maeneo anayoishi wakati alikohamishiwa Kuna sekondari nazo pia zina waalimu waliozidi, sijui hawa wakuu wa idara wanachuki gani na sisi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

    Mimi naipenda sana hii biashara!!Swali langu,ni hatua gani nitazifuata kweza kuagiza nnje?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fursa Barani Ulaya kwa wajasiriamali wa Kitanzania.

    Mboga za majani vipi??kama kisamvu vile????
  9. K

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Naomba nisaidie link za wasafirishaji wa meli
  10. K

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Heko sana,japo threat ya kitambo,vipi kuhusu kuagiza loosed cargo Kwa njia ya posts?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Ccm watu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nilichokishuhudia Romania Dec/1989

    Sawa washa mottttto
  13. K

    JamiiForums Tanzania Regime Change Inakuja Tanzania.

    Poyoyo!ninawasiwasi sana tungetawaliwa na wakoloni miaka hii tusingeweza kujikomboa hata kidogo!!!MTU anaamini sana wazungu waje wamkomboe mmmmh
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ichunguzwekwa kushindwa kuboresha mazingira ya elimu nchini

    Miprofesseri hahahaha,walijifunza kufanya utafiti sasa wanafanya sampling katka politics
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Eric Shigongo kwa maazimio ya bunge la Umoja wa Ulaya(EU)

    Utekwaji wa watu!!kukatwa mafao,kufugwa ovyoovyo wapinzani!!unasimama nae,nawe pia katili
Back
Top Bottom