Recent content by Kyawanjubu

  1. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

    Mbn Kuna mwingine ngurue alipita na kichwa chake mpaka leo wanamchukia mdudu
  2. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afariki baada ya kuingia kwenye kisima chenye mita 60 kumtoa mbuzi

    Nimepita hapo zimamoto naona askari wanajifunga mamifuko nikajua labda wanaenda kwenyr nyuki
  3. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nipe namba zao
  4. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nichek nikupe
  5. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni zaidi ya week nzima
  6. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ww jamaa nakutafta. Umenifanya nifungue account kwenye iyo paripesa nimeweka Hela . kutoka mpesa lakn mpaka leo haijawai ingia kwenye account na mpesa wanasema imeenda
  7. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

    We uza tu kiwanja nani akupe Hela bure
  8. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  9. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Kuna mtu anaweka matangazo ya kampuni ya kubet inaitwa baripesa mbona nmetapeliwa live nimeweka Hela voda wanasema imeenda lkn kwenye account hakna hata mia .[emoji25] Voda wanauliza me nimewajulia wapi ? Nikashindwa nijibu nn
  10. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana Nice kanichania nmempa corner aongoze kweli mpaka mapumziko ana 3 Kwa 1 FT 4-4
  11. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi UDSM, Jimmy Mathias Bughado amepotea

    Mama yupi?
  12. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia aseme yeye ni ‘Chura Kiziwi’ alimpotosha

    Kwamba mpaka kusema chura kiziw ameambiwa
  13. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Unapendekeza gari ipi kati ya IST, Runx, Ractis au Allex?

    Imekaa kama kiatu Cha mtoto mchanga
  14. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nenda football predictions co uhakika sana
  15. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unawaulizaje?
Back
Top Bottom