Kama ninakumbuka vizuri Clinton alipo kuja alitembelea Kigamboni,pale panapojengwa mji mpya kwa sasa huku watz wakitakiwa kuachia eneo na kusogea mbele, kisha alituzuga kwa kudai kufungua salon ya kunyoa nywele ya kisasa eneo la Magomeni,kisha kuelekea Mtwara mpka bwawa la wamakonde kuitwa jina...