kazi kubwa ya waumini wa Kiislamu ni kumuabudu Mwenyezi Mungu kwa kutekeleza yaliyomo kwenye Qurani tukufu na sunna za Mtume Mohamed S.A.w.Kama ukitimiza yaliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu utaishi kwa amani na furaha.
apate mtu wa karibu amfanyie ushauri nasaha.unajua umaarufu ukiambatana na uwezo kifedha una vutia vishawishi vingi kama hukuandaliwa kukabiriana navyo.
mimi naishi Ukonga,naweza sema pamoja na umeme kukatika kuna afadhali kubwa sana kuliko huko nyuma tulikotoka.Umeme ukikatika tuna uhakika baada ya muda utarudi.na ukiwapigia simu TANESCO wanakujibu kiungwana na wanakwambia kinachoendelea.Tuwape muda ,na nyenzo muhimu ninaona kuna mabadiliko...
kila mtu ana tafsiri yake ya ujumbe uliotolewa na maua ..........sisi binadamu ndo tunashabikia uhasama. Ingefurahisha Zaidi kama ushabiki wetu ungejielekeza katika kuwanasihi hawa wanandoa waliotengana ili wajue na kujutia makosa yao warudiane kwa faida ya watoto wao.
Naona kabla ya kulaumu chombo chochote cha habari,tujitahidi kujua usajili wao unawaruhusu kufanya nini.Kwa maana ya kusoma memorandum na articles of association ya chombo husika.Aidha tusisahau vyombo vingi vya binafsi vinajiendesha kwa mapato ya ndani ,tofauti na vyombo vya serikali...
Kila penye tatizo ni vizuri kutulizana na kutafuta ufumbuzi kwa busara.Nchi yetu imeweka mifumo mingi ya kutoa haki.inaweza ikawa dhaifu au ikawa na nguvu kwa jinsi inavyotumika.Kuna mihimili mitatu na yote ina raslimali watu na majukumu yanayoitofautisha..Kama kila Mwananchi;kiongozi atakuwa...
kwa mtazamo wangu ,inawezekana ukapata mtu wa aina hiyo awe mwanamke au mwanaume.Lakini kama unaona kwamba hana muelekeo ,pengine uelewa wake wa mambo ni mdogo,au elimu yake iko chini sana ukilinganisha na umri wake au na elimu yako,ni vizuri uchukue hatua za ziada za kumsaidia.Moja ya mambo...
Uzalendo ni kitu muhimu sana lakini katika hili la biashara kuna umuhimu wa kuwa makini.Kwanza tuangalie historia ya hali ya usafiri wa Anga tangu tupate uhuru.Ukiangalia sana Mkoa wa Kigoma ni mmoja ya mikoa ambayo usafiri wa anga ulikuwa wa matatizo makubwa.Treni ndo usafiri wa kuaminika...
hongera dada kwa kujiweka sokoni yote mazuri ila suala la kabila limepitwa n.a. wakati hii Iinakuondolea sifa moja kuu ya upendo..waacha sifa zako zikutangaze .Epuka kupiga ngoma ukaicheza mwenyewe.wapelelezi wa nyumba bora ya kupata mke wapo
.Kumbuka mke mwenye sifa...
Ushauri wa madereva hapo juu unatosha kwbisa .hebu ufanyie kazi.pia angalia kama uzito unaobeba unaendana na tyre zako.je unakagua upepo (inflation) mara kwa mara?
Kwa maelezo zaidi nipigie 0713235853
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.