Recent content by Kyambambembe

  1. Kyambambembe

    Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

    Hivi NATO ipo toka lini? Na unaju fika kuwa NATO imeundwa maksudi ili kumkabili Russia, je toka NATO imeundwa imefanikiwa kumkabili au kumdhiti Russia aiendelee na malengo yake? Je kama NATO ni suruhisho la kiusalama Duniani kwanini isimuondoe Russian kwenye Ramani ya Dunia ili kila mtu aishi...
  2. Kyambambembe

    Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

    Hivi Russia ni wajinga kiasi hicho kwamba wana vamia tu kijeshi nchi kama Ukraine bila sababu za msingi? Au kuna mjinga mmoja yupo kati yao anatekeleza malengo yake binafsi?
  3. Kyambambembe

    Nahisi kama nimeingizwa chaka

    Kwani utakufa tambua kuwa kutoa ni moyo
  4. Kyambambembe

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Dada tulia tunza ndoa yako hizo ni changamoto ndogo sana na zakawaida mnoo
  5. Kyambambembe

    Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

    Japo wamekuletea unakula kwa raha zako tatizo chakula chenyewe chunvi imezidi sana
  6. Kyambambembe

    Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

    Gwikasyeghe marafyale mbombo ngafu fijo
  7. Kyambambembe

    Rai yangu kushughulikia Panya Road

    Wadhibitiwe hawa vijana haraka sana
  8. Kyambambembe

    The U.S. Air Force's B-21 Long-Range Stealth Bomber Might Be Unstoppable

    Kwahiyo Iran ni kipimo kizuri zaid kwa hiyo ndege
  9. Kyambambembe

    Pata Chia Seeds kwa bei nzuri

    Ni vyema ilieleza faida za bidhaa yako
  10. Kyambambembe

    Russia's parliament votes to unplug internet from world

    Selikali ipo sahihi sana sio kila jambo wananchi wajue ila selikali ina uhalali wa kujua kila jambo kuhusu wananchi wake
  11. Kyambambembe

    Urusi yasimamisha mfumo wa ndege za marekani F -35 na F-22 karibu na Irani

    Inawezekana ni siri yao wenyewe maana wangeaibika na propaganda zao wana kmsemo chao wanasema unprofessionaly
  12. Kyambambembe

    Vijana wa Hong Kong I salute you

    Pamoja na yote hapo muongozo mkuu ni katiba wenzetu wanaheshimu katiba zao pia katiba ni nzuri
  13. Kyambambembe

    Hizi ndiyo nyimbo ambazo nikisiliza naona kama vile zimeimbwa leoleo tu.

    Huyu jamaa mm ngoma zake zote tamu nyingine hiyo isikie
  14. Kyambambembe

    SOKO LA KARANGA

    Kg 1=2000
Back
Top Bottom