Huku kufoka ,kutukana na vitisho ,vinaficha nini? Kama ni mtu ametoa mawazo yake , kwa vitisho vya nini? Kuna dalili mbaya hapa. Ni swala la muda tu. Rejea ya Makonda.
Mbona umeandika kwa kumchafua? Kwani ungeabdika kwa kupinga alichokisema kuhusu Tanzania usingeeleweka? Unadhani kwa kumchafua itaondoa alichokisema kama ni kweli alisema? Itetee nchi yetu kwa kupinga wasemayo bila kubambika makosa kwa wakosoaji wetu.
Hizo siyo pesa zake. Yafaa kusema serikali imetoa,kwani hata wewe ni Serikali. Namaanisha kama siyo kodi zetu,ni mikopo ambayo itatulazimu kuilipa. Neno zuri " Serikali imetoa"
Uhuru wa Tanganyika umewekwa rehani kwa wazanzibari unafurahia, unatembea utakavyo katika ardhi yao, unamiliki ardhi yao utakavyo. Unakula jasho lao litokanalo na kodi zao utakavyo, hakuna mtanganyika hata mmoja anaruhusiwa kuajiriwa Zanzibar, hakuna anayeruhusiwa kumiliki ardhi huko...
Najua vijana wengi wa sasa hamjui . Miaka ya nyuma kuna kiwanja cha ndege cha kimataifa kilitakiwa kujengwa sehemu moja inaitwa Nyansurura. Baada ya Nyerere kuondoka madarakani mpango huo ukafanyika hadi leo. Ilikuwa kumuenzi vizuri ilikuwa kujenga huo kuliko ukarabati wa huo.
Huu upumbavu wa akina Nyerere na genge lake ikome , hatuhitaji muungano isiyo na usawa. Kama wanaweza kumiliki ardhi bara kwa kofia ya utanzania kwa nini Wabara isiywe hivyo huko? Hatutaki . Kero kubwa kuliko zote katika muungano huu wa hovyo kabisa. Nilipata kufika nje ya Tanzania ,eti siku...
Ni kweli siyo askari ,lakini wanayo mafunzo na ujuzi mkubwa wa mambo ya kijeshi. Hivyo si vema kudhani kwamba hawana madhara . Lakini pia kuna waliochishwa jeshi hadi leo hawakulipwa chochote. Tujifunze kutenda haki.
EU ni jumuia inayoundwa na watu, wenye uakilishi hapa nchini, tena wanajua hata shule zetu zinaupungufu wa vyoo wanajenga, unadhani wanaweza kushindwa kujua kinachoendelea kwa swala la mbowe na wenzake! Kama ni EU imeitaka serikali ,hapo Chadema wanaingiaje? Jumuia nyingi duniani ziliitaka...
Haya mambo ya kipuuzi kabisa. Unataka watu wachanje kwa lazima ! Chanjo ambayo haiwezi kumkinga mtu na kirusi kipya! Au waziri hujasika hata huko kwa wenye chanjo kirusi kipya kinapeta tu. Tulia mama ,kama ni mapesa yao warejesheeni tu.
Kwani jaji kuyakataa mapingamizi ndo mwisho wa kesi? Au kupokelewa jaji ameshasema mahakama mwisho wa kesi itaamua . Tunapaswa kuwapa watulivu. Mawakili wa utetezi wanajua wanachokifanya hasa haya mapingamizi. Wanajua aina ya majaji tulionao. Hapo inatengenezwa nguvu ya hoja kwenye rufaa...
Silaha kuu ni haki na usawa tu. Kama ni kufunzwa siyo lazima waende huko , majumba yenu yatatumika kama vyuo vya kufundishia. Wataalamu watakuja humuhumu.
Tuwe makini sana na wageni kama tukishindwa kutenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.