Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Mzee wangu Ponda shikamoo.
Umenena vyema sana
Mabaya yametamalaki ktk nchi, baadhi ya wenye madaraka wamekuwa wananyama kuliko hata wanyama wenyewe! watu wanabambikiziwa makesi ya ajabu, dhuluma imetawala, wastaafu wanazikwa haki zao hadi wengine wakifa bila kulipwa stahiki zao.
EE Mola shusha upanga wako wa moto dhidi ya watu hawa
 
kisa kukamatwa ka gaidi mbowe? hilo sahauni hachomoki kwa maneno yetu na nchi inasonga mbele
 
Kila msema kweli mtamuita Chadema,hata Jenerali Ulimwengu ambaye ni Kada wa CCM mlianza kusema ni Chadema.

Jaji Warioba mlikuwa mnasema anatumwa na Chadema.

Na sasa Sheikh wetu Ulamaa Ponda Issa Ponda mliemshindwa kumuua kwa kummiminia risasi pale Morogoro.
Usiwapinge wako sahihi maana CCM wote ni wanafiki. Wanaosema ukweli hawawezi kuwa CCM!
 
Huyu si mtetea haki bali ni jihadist na kule chadema yeye na katimba si kwamba wameenda kama wanasiasa bali wapate platform ya ajenda zao. Hawa si ndio walikuwa ile cuf ya zamani na baada ya ajenda ya ukawa kusambaratika wakaenda kujichanganya chadema? La kwake sii siasa wala haki bali ni kueneza dini yake na kufuta kabisa wanaoamini tofauti na yeye. Na mtu yoyote anayeunga mkona harakati zake maana anakubaliana na fikra na itikadi zake hatari kwa imani nyingine na mifumo ya utawala tofauti na huo wa kwake anaoutaka wa kidini
 
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:

View attachment 2021205

Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:

"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Ujumbe umeeleweka ila kwa kuwa siro, na washirika wake wanashingo ngumu na rais wa nchi amezungukwa na watu kama akina Ndungai itakuwa ngumu sana kumwelewa shekhe ponda
 
Shekh Ponda Mungu akubariki, wewe ni mmoja kati ya watumishi wa dini ambao ni wakweli kabisa - yaani unaita koleo ni koleo na na siyo kijiko kikubwa.

Ubarikiwe !!
 
Tatizo la Watanzania ni unafiki. Raia wasio na hatia wako magerezani na wengine wanauliwa ili tu CCM watawale milele na ajabu hao wanaohimiza tufunge na kusali kuomba mvua hawajawahi kukemea vitendo hivyo.

Mwenyezi Mungu sio wa CCM peke yao!!!!!!!!!!!
huyu mzee ni moja ya watu wakweli sana. Mungu amuweke salama
 
Huyu si mtetea haki bali ni jihadist na kule chadema yeye na katimba si kwamba wameenda kama wanasiasa bali wapate platform ya ajenda zao. Hawa si ndio walikuwa ile cuf ya zamani na baada ya ajenda ya ukawa kusambaratika wakaenda kujichanganya chadema? La kwake sii siasa wala haki bali ni kueneza dini yake na kufuta kabisa wanaoamini tofauti na yeye. Na mtu yoyote anayeunga mkona harakati zake maana anakubaliana na fikra na itikadi zake hatari kwa imani nyingine na mifumo ya utawala tofauti na huo wa kwake anaoutaka wa kidini
Hayo unayaamini wewe na islamophobia yako
 
Sikuwahi hata siku moja kuuchukia uislamu wala muislamu, nawapenda sana na waheshimu na wao wananiheshimu wengi ni ndugu zangu wa damu, wengine nimesoma nao na tunaishi nao kijijini bila kuona tunatofauti yoyote ya kidini. Tatizo ni hawa wanaharakati ambao wanawadharau hata waislamu wenzao ambao wanaamini binadamu wote ni sawa. Hawa majihadist wanaamini binadamu ni yule mwenye misimamo ya hatari kama yao na wamewachukia zaidi hata waislamu wema waliopinga misimamo yao. Narudia hawa Ponda na Katimba sii wanasiasa bali wanatumia siasa kupenyeza ajenda yao ya DAESH na ku weakening frumo rasmi wa utawala wa sheria ili waingize mambo yao
 
Una ushahidi gani kwamba ponda ni jihadist?!..kwamba ana ajenda ya daesh?!
 
Back
Top Bottom