Recent content by kwitandula

  1. K

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi ya Mwendokasi ni kero kuu

    Nani msimamizi wa huu usafiri?hii kero ya abiria kukaa kwenye kituo zaidi ya saa moja bila usafiri hamuioni?kwa nini wanasiasa wapo kimya juu ya jambo hili linalosumbua wananchi? tunapoteza muda mwingi sana kwenye vituo,muda ambao ilibidi wagonjwa wahudumiwe na wataalamu wanaosubiri usafiri,watu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuongee na Madaktari

    Kabla ya kuangushia lawama zote kwa madaktari na manesi,tuangalie na sababu hizi pia 1. Wanawake wengi wanakataa kushonwa msamba pale mtoto anapoongeza njia 2. Mwanamke aliyechanika msamba akishashonwa hatakiwi kunawa na maji ya moto ndani ya wiki moja ili nyuzi zisiachie(absorbable suture)...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na mtu niliyedhani ni mhitaji kumbe ni tapeli

    Mwaka 2015, nakaa hostel(MUHAS) Kuna dada alikuwa amebeba mtoto mgongoni hajamvalisha chochote anagonga kila room kuomba msaada wa nguo au chochote kwa madai kua nyumba yao imepata shoti ya umeme na imeungua yote na vilivyomo,mdogo wake yupo amana hospital ameungua so ndio anapita kuomba msaada...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Na ukiuliza huduma gani nimejiunga na nawezaje kujitoa? Majibu Yao ni wizi mtupu! Hivi kwani kuna watu wanashindaga kweli hizo tusua mapene sijui mara sports au ndio mwendelezo wa wizi?[emoji848]
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Hujaelewa mada kabisa nyie ndio mkipewa dhamana ya uongozi wowote mtasaini mikataba hata bila kusoma wewe ni mvivu wa kusoma na kuipambanua mada tajwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Tofautisha kati ya kulia na wizi wanaofanya nyie ndio mnaosababisha wasibadilike na kuendelea kuumiza watu yani kiufupi haujaelewa mada,shida sio kasi ya maendeleo wala ubora wa mtandao issue ni kwa nini wanakata salio nililoweka kwa hela yangu bila taarifa?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Sijalazimishwa na sihami ila kwenye ubovu lazima tuseme na sijasema kuwa mtandao ni mbaya may be wewe hujapata hizo changamoto Kosoa kwenye tatizo sio kila kitu ndiyo mzee!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Na wizi umeongezeka kwenye vifurushi tatizo ni mtandao ambao wengine watu wetu wengi wa karibu hasa watu wazima wanautumia lasivyo ningeuacha kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Kweli kabisa yani tena naona hata wanakiuka maadili TCRA waangalie ile ni huduma sio matangazo!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom tumewachoka

    Habari! Hivi wakuu Vodocom mbona wanatuibia hivi, asubuhi nimenunua muda wa maongezi 1000 hawajakata nikaongezea 1500 ili niunge kifurushi cha wiki 2500 matokeo yake naambiwa sina salio la kutosha, kucheki salio ipo 2000 sh.500 wameikata na hakuna sms inayoonesha makato hayo. Nimepiga customer...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TCRA huu wizi wa Makampuni ya simu mbona mmeufumbia macho? Angalieni Airtel

    Voda mtandao uko vizuri ila bando linaenda fasta sana kama ukiunga zile units za pindua pindua ndio kabisa
  12. K

    JamiiForums Tanzania TCRA huu wizi wa Makampuni ya simu mbona mmeufumbia macho? Angalieni Airtel

    Halotel wanakifurushi kizuri cha royal 10000 kwa mwezi unapata dakika za mitandao yote kama 200 na halotel zaidi ya 300,gb 2 kasi+4gb bonus mtandao upo fasta kama voda ila zikiisha hizo 6gb unaendelea kutumia internet free jf,whasap n.k ila kwa YouTube na Instagram mtandao unakua slow
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zifahamu njia za Uzazi wa Mpango (Family Planning Methods)

    Ndiyo,kama umezidisha muda wa kukaa nacho zaidi ya miaka mitatu kwa kijiti kimoja(implanon) au miaka mitano kwa vijiti viwili(jadele)
  14. K

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake

    Kwa hiyo kutofautisha saa original na feki unaangalia bei?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake

    Tupe na bei zake mkuu,,,hiyo RADO bei gani?
Back
Top Bottom