Hivi what is so special with Babu Seya na Mwanae?., mbona baadhi ya wanajamii wameamini kabisa kwamba hawa hawakutenda ule uhalifu.,?,mbona nyie mnaojigamba kiwa mnaojua ukweli hamkujitokeza kama mashahidi wao pale mahakama ya Kisutu wakati ule?.,kwani huko jela si kuna wahalifu wengi tu ambao...
Sasa jamaa kafaidika nini maana na yeye kajitoa uhai huku demu wake na mume mwenzake wanapeta,sasa bwana Mzava atajilia vyake kwa ulaiiiini bila hofu ya Bastola..,lkn mademu nyie mnakera hadi basi..,kalale panapokustahili Kamanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.