tumedharaulika sana mkuu hawaoni shda maana wao wanashiba, tunaongozwa na serikali iliyojaa mafisadi tu! Umewahi sikia dhiara ya rais imekwama kwa kukosa pesa? Ndo uone hapohapo leo yupo marekan anakula bata ww unashindia mapapai,
Haki yetu iko wapi? Mbona mnatunyanyasa hivyo? Viongozi mnakula raha, mara mabilion ya pesa yameibiwa,rasilimali zimetapakaa kila mahali,mnalipana maposho makubwa, hivi dhiara ya rais inafaida gan kwetu sisi kama leo tu yupo marekan ikiwa mpaka sasa tunalala njaa hatujapewa pesa zetu za field na...
hako kajamaa hakafai ndo maana nashangaa waliokapa kura ona ata kuwatetea wanafunzi wenzake kanashndwa! Wajifunze waliokapa kura wanateseka sasa,maana tulisema ni chaguo la utawala hawe kusimama kututetea, nampongeza kamanda mwakbinga ye
ye hana ata mkopm lakin anahangaika wana udom wapate pesa zao
Mbona vyuo vikuu tumesahaulika hivyo ? Kuna thamani gani ya elimu ya chuo kikuu hapa Tanzania kama tunakuwa watu wa kukopa kopa, namaanisha ni mwezi mmoja sasa umekatika hatujapewa pesa ya field! Viongozi wa selikali waziri wa elimu kulikon mbona kimya kimezid? Mtatuua
Mbona hii ni dharau kubwa sana?
Kwann wanyonge tunaonewa hivyo?hivi wazir wa elmu kaz yake ni ip?
Yaan mnafisad mpaka pesa za wanafunz wa vyuo vikuu?
Ina maana waziri wa elmu hajui kama mpaka sasa hatujapewa pesa za field tunakula nn sasa? Huu ni upuuz! haiwezekan kunyanyaswa kias hicho...
Vijana watanzania wenzangu tubadilike,mnaisaliti nchi yenu kwa vjicenti vya kununulia pombe,huku viongoz wenu wana fuja rasilimal za nchi yenu,eti mnabebeshwa mabango mnapinga ukawa mnaakili kwel ninyi? Badiliken sasa tambuen kuwa ccm ya sasa siyo ile aliyo iacha mwl baba taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.