Selikali iliyopo madarakani acheni kutudharau vyuo vikuu

KWIBANKU

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
35
Reaction score
3
Haki yetu iko wapi? Mbona mnatunyanyasa hivyo? Viongozi mnakula raha, mara mabilion ya pesa yameibiwa,rasilimali zimetapakaa kila mahali,mnalipana maposho makubwa, hivi dhiara ya rais inafaida gan kwetu sisi kama leo tu yupo marekan ikiwa mpaka sasa tunalala njaa hatujapewa pesa zetu za field na safas yake moja tu inaghalimu millions of money? Kuweni na huruma vinginevyo msije kutuomba kura zetu mtatuua
 
Kwani hata wakiacha nanyi mtaacha kujidharau kujiuza na kujitumisha?Mkijitambua ndipo utu utawajia.CCM ni ya kupiga chini wehu nyie.Mnajifanya mna akili na kujiita wasomi wakati hamuwezi soma habari na kuzielewa.Mkipewa mishikaki mnatgwa km panya.
 
CCM hawategemei kura yako wewe! Wanategemea Tume ya uchaguzi kushinda, Imekula kwako.
 
Sii ndio nyie mlianza kuuwa upinzani vyuoni kwa kukubali kuhongwa na nape na mwiigulu. Siyo nyie nyie wa Sauti mliandaa mkutano mkala nyama na kunywa bure bila kulipa. Siyo nyie mkiwakilishwa na tahlso mlimwalika sumaye kufungua mkutano huku mkitoa matamko ya kijinga eti ukawa urudi bungeni. Siyo nyie mmekuwa mkijikusanya na kutuma ujumbe kuwataka wanafiki ka kinamwigulu na january kugombea uraisi.

Mmesahau jambo moja kuwa haki zenu ni mapambano ya wapinzani wa kweli vyuoni ambao wengi waliishia kufukuzwa vyuo. Zilizingatiwa wakati upinzani vyuo vikuu ulipopata nguvu ya kutozuilika. Sasa ndio mjue shetani hafadhiliki maana hana shukrani. Ukimfadhili atakuumbuwa tu on the way. Nyie ndio mlivimbisha kichwa mwigulu wazir wa fedha na kwa taarifa yenu fedha hazijatoka hazina kwenda bodi ya mikopo maana zimepelekwa bungen.

Kwa unafiki wenu ambao umehitimishwa na UDSA waalimu wenu, hii adhabu japo si sawa lakini hutolewa kwa wasaliti na vigeu geu. Mlifikiri ccm imejirudi mkalala na wengine mkarudi kutafuta vya bure matokeo yake sasa mnayala. Mungu ni muhukumu wa haki na anasema hapendi vigeugeu. Mngekuwa chuoni mngewatafuta wapinzani wa kweli wawaunganishe mpambane ila mlishawasaliti. Poleni ila kwa uchungu japo inaniuma wacha mle jasho lenu!! Poleni rudini kwenye msitari.
 
kwa kweli inaumiza sana watoto wa watu wengine wameenda maeneo ambayo hawana ndugu wala mtu wa kuwafadhili lakini ni karibia mwezi sasa hawajapewa pesa zao za kujikim wakiwa field,jamani inatia huruma sana.Lkn ngoja iwe fundisho kwao waju ccm ni zaidi ya Ebola ya A.magharibi
 
Sii ndio nyie mlianza kuuwa upinzani vyuoni kwa kukubali kuhongwa na nape na mwiigulu. Siyo nyie nyie wa Sauti mliandaa mkutano mkala nyama na kunywa bure bila kulipa. Siyo nyie mkiwakilishwa na tahlso mlimwalika sumaye kufungua mkutano huku mkitoa matamko ya kijinga eti ukawa urudi bungeni. Siyo nyie mmekuwa mkijikusanya na kutuma ujumbe kuwataka wanafiki ka kinamwigulu na january kugombea uraisi.

Mmesahau jambo moja kuwa haki zenu ni mapambano ya wapinzani wa kweli vyuoni ambao wengi waliishia kufukuzwa vyuo. Zilizingatiwa wakati upinzani vyuo vikuu ulipopata nguvu ya kutozuilika. Sasa ndio mjue shetani hafadhiliki maana hana shukrani. Ukimfadhili atakuumbuwa tu on the way. Nyie ndio mlivimbisha kichwa mwigulu wazir wa fedha na kwa taarifa yenu fedha hazijatoka hazina kwenda bodi ya mikopo maana zimepelekwa bungen.

Kwa unafiki wenu ambao umehitimishwa na UDSA waalimu wenu, hii adhabu japo si sawa lakini hutolewa kwa wasaliti na vigeu geu. Mlifikiri ccm imejirudi mkalala na wengine mkarudi kutafuta vya bure matokeo yake sasa mnayala. Mungu ni muhukumu wa haki na anasema hapendi vigeugeu. Mngekuwa chuoni mngewatafuta wapinzani wa kweli wawaunganishe mpambane ila mlishawasaliti. Poleni ila kwa uchungu japo inaniuma wacha mle jasho lenu!! Poleni rudini kwenye msitari.

Ahsante sana mkuu umemaliza kila kitu, hawa jamaa wanaojiita wasomi wengi wao ni wanafki sanaa ,vigeu geu na wasaliti wakubwa, msomi gani anakuwa msaliti na kigeu geu??

Mwaka 2012 wakat namalizia chuo pale IFM tulimpigania kamanda awe rais wa serikali ya wanafunzi baada tu ya kupata hiyo nafasi jamaa akawageuka na kuwasaliti wenzake,Mara tunamsikia yupo chalinze kwenye campaign za CCM stupid..... Yule lazima aishie kubaya, hakuna dhambi mbaya km usaliti..... Serikali yake ikabaki kushughulikia wanaharakati wote pale chuoni na kuwafanyia usnitch pumbavu wakubwa hao....
 
Haki yetu iko wapi? Mbona mnatunyanyasa hivyo? Viongozi mnakula raha, mara mabilion ya pesa yameibiwa,rasilimali zimetapakaa kila mahali,mnalipana maposho makubwa, hivi dhiara ya rais inafaida gan kwetu sisi kama leo tu yupo marekan ikiwa mpaka sasa tunalala njaa hatujapewa pesa zetu za field na safas yake moja tu inaghalimu millions of money? Kuweni na huruma vinginevyo msije kutuomba kura zetu mtatuua
Nyie mnaojiita hakuna watu takataka kama nyie,sehemu nyingine au nchi nyingine mngekuwa chachu kwenye mambo ya katiba lakini nimegundua kufaulu kwenu kwa kukariri masome kumewafanya nyie ni kondooo kuliko kada nyingine nchini tena ata wasiwape ata ya sukari majinga nyie
 
Badala ya kukaa na kuanza kufikiria mkimaliza shule mnapenya vipi kwenye soko la ushindani wa ajira, kutwa mkikaa mnawaza siasa. Ndio maana unakuta mitoto elfu kumi inakimbilia ajira 70 kati ya hizo 40 za watoto wa vigogo what are your chances.

Muda huu mnatakiwa mpasue vichwa na kuelewa changamoto za jamii yenu na jinsi ya kumudu maisha baada ya masomo kama usipofanikiwa kupata kazi where do you go, CPD yako ina malengo gani, we mwenyewe unaona utafikaje kwenye safari yako ya kimaisha maana there are chances unaweza kuwa miongoni mwa wahitimu waliokosa bahati ya ajira that is real.

Ndio maana kuna mijitu inadhani njia za kutoka ni kujipendekeza sasa kama ubunifu usipoanza mapema na cleary na wenyewe mmeshaanza kukubali kutumiwa mapema hivi kwa malengo ya wengine what are your future plans zaidi ya kutegemea fate tu na elimu umepewa + akili ndio maana mpo vyuo vikuu; starting getting creative.

Nyie watoto huko vyuoni mnahitaji kupanga priorties zenu za baadae sio kukaa mnawaza siasa na wanasiasa waache kuwavuruga hawa watoto kwakeli nonsense ya midahalo kila kukicha kuwajaza pumba tupu zisizo wasaidia kwenye maisha yao. If you lots are bored si mkimbizane na vicheche. Mwenzenu katoa video anataka mwanamme mwenye hela we endelea kulala ukimaliza utajikuta unazagaa mtaani hakuna mwanasiasa atakae kujali baada ya kukutumia kipindi hichi, get your priorities straight ndio muda wa kupanga.
 
Mkuu zinjathropus umenena mwenye sikio na asikie
 
Nyie mnaojiita hakuna watu takataka kama nyie,sehemu nyingine au nchi nyingine mngekuwa chachu kwenye mambo ya katiba lakini nimegundua kufaulu kwenu kwa kukariri masome kumewafanya nyie ni kondooo kuliko kada nyingine nchini tena ata wasiwape ata ya sukari majinga nyie

Mkuu, afadhali umemwambia ukweli. Hawa madogo wasilalamike, watulie tu dawa iingie. Hawa hawawezi kufikiri wenyewe, wanabebewa akili na watu wengine halafu wanakuja JF kulialia. Kwanini kama kweli ni wasomi wasiuonyeshe usomi wao wakakaa wakaja hata na tafakuri ya kueleweka juu ya mstakabali wa nchi hii na hatima yao kama vijana. Kazi yao ni kuingia katika makundi ya kisiasa na kuishia kutumika isivyo halafu baadaye wanakuja JF kulialia. Hata kama siku ile ya mdahalo pale Nkrumah hall wale hawakuwa wanafunzi wa chuo, lakini wale walikuwa wawakilishi na portrait ya vijana wa sasa walivyo cheap. Watu wanapelekwapelekwa tu kama hawana akili timamu.

Halafu hata haki zao hawazijui, wanachojua ni posho ya field tu na boom la shule. Mwaka 2010 serikali ilipotangaza kufunga vyuo vikuu ili wasipige kura hatukusikia wakipiga kelele yoyote juu ya haki yao ya kupiga kura. Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar wengi wao walijiandikisha chuo, matokeo yake wakanyimwa hata ile haki yao ya kupiga kura wakanyamaza halafu sasa hivi wanailalamikia serikali ambayo walishiriki kuiweka madarakani. Tulieni mnawie uso maji ya pilipili, na bado subirini mtakoma. Sasa hivi wanawajia na gia ya kupunguza ada ya chuo kwa 40% ili mazombi yaone sasa serikali inawaonea huruma na kuwajali ili muipigie kura halafu baada ya hapo tena wawape kitu inauma. Mnadanganywa na pumba kama Quelea quelea ili mjae mtegoni kabla hamjanasa wote. Think big my boys. Chukueni hatua na mjitambue. Siyo kusaka huruma. Mtalia sana.
 
Haki yetu iko wapi? Mbona mnatunyanyasa hivyo? Viongozi mnakula raha, mara mabilion ya pesa yameibiwa,rasilimali zimetapakaa kila mahali,mnalipana maposho makubwa, hivi dhiara ya rais inafaida gan kwetu sisi kama leo tu yupo marekan ikiwa mpaka sasa tunalala njaa hatujapewa pesa zetu za field na safas yake moja tu inaghalimu millions of money? Kuweni na huruma vinginevyo msije kutuomba kura zetu mtatuua

kwa hiyo wewe ukishibishwa na kupewa pesa za field ndio unaipigia Sisiem kura sio?! mbona huna msimamo?
 
Sii ndio nyie mlianza kuuwa upinzani vyuoni kwa kukubali kuhongwa na nape na mwiigulu. Siyo nyie nyie wa Sauti mliandaa mkutano mkala nyama na kunywa bure bila kulipa. Siyo nyie mkiwakilishwa na tahlso mlimwalika sumaye kufungua mkutano huku mkitoa matamko ya kijinga eti ukawa urudi bungeni. Siyo nyie mmekuwa mkijikusanya na kutuma ujumbe kuwataka wanafiki ka kinamwigulu na january kugombea uraisi.

Mmesahau jambo moja kuwa haki zenu ni mapambano ya wapinzani wa kweli vyuoni ambao wengi waliishia kufukuzwa vyuo. Zilizingatiwa wakati upinzani vyuo vikuu ulipopata nguvu ya kutozuilika. Sasa ndio mjue shetani hafadhiliki maana hana shukrani. Ukimfadhili atakuumbuwa tu on the way. Nyie ndio mlivimbisha kichwa mwigulu wazir wa fedha na kwa taarifa yenu fedha hazijatoka hazina kwenda bodi ya mikopo maana zimepelekwa bungen.

Kwa unafiki wenu ambao umehitimishwa na UDSA waalimu wenu, hii adhabu japo si sawa lakini hutolewa kwa wasaliti na vigeu geu. Mlifikiri ccm imejirudi mkalala na wengine mkarudi kutafuta vya bure matokeo yake sasa mnayala. Mungu ni muhukumu wa haki na anasema hapendi vigeugeu. Mngekuwa chuoni mngewatafuta wapinzani wa kweli wawaunganishe mpambane ila mlishawasaliti. Poleni ila kwa uchungu japo inaniuma wacha mle jasho lenu!! Poleni rudini kwenye msitari.

Mkuu, hawa hawasikii. Ngoja waipate fresh. Wasomi? Wasomi wa wapi hawa wakati hawawezi hata kusimamia katika hoja. Nyama watakula sana na wao wataliwa pia, ila wanyamaze wasitupigie kelele sisi huku. Sasa huyu anakuja kulilia JF hapa nani amsikie amwonee huruma. Shenzi wakubwa hawa. Nashangaa watu eti ni Dr., PhD lakini wanendeshwa na wanasiasa ambao hawana na robo ya elimu yao. Njaa na rushwa za laki moja, mbili ndo wanoana wamepata...
 
Badala ya kukaa na kuanza kufikiria mkimaliza shule mnapenya vipi kwenye soko la ushindani wa ajira, kutwa mkikaa mnawaza siasa. Ndio maana unakuta mitoto elfu kumi inakimbilia ajira 70 kati ya hizo 40 za watoto wa vigogo what are your chances.

Muda huu mnatakiwa mpasue vichwa na kuelewa changamoto za jamii yenu na jinsi ya kumudu maisha baada ya masomo kama usipofanikiwa kupata kazi where do you go, CPD yako ina malengo gani, we mwenyewe unaona utafikaje kwenye safari yako ya kimaisha maana there are chances unaweza kuwa miongoni mwa wahitimu waliokosa bahati ya ajira that is real.

Ndio maana kuna mijitu inadhani njia za kutoka ni kujipendekeza sasa kama ubunifu usipoanza mapema na cleary na wenyewe mmeshaanza kukubali kutumiwa mapema hivi kwa malengo ya wengine what are your future plans zaidi ya kutegemea fate tu na elimu umepewa + akili ndio maana mpo vyuo vikuu; starting getting creative.

Nyie watoto huko vyuoni mnahitaji kupanga priorties zenu za baadae sio kukaa mnawaza siasa na wanasiasa waache kuwavuruga hawa watoto kwakeli nonsense ya midahalo kila kukicha kuwajaza pumba tupu zisizo wasaidia kwenye maisha yao. If you lots are bored si mkimbizane na vicheche. Mwenzenu katoa video anataka mwanamme mwenye hela we endelea kulala ukimaliza utajikuta unazagaa mtaani hakuna mwanasiasa atakae kujali baada ya kukutumia kipindi hichi, get your priorities straight ndio muda wa kupanga.

mkuu nimekuelewa sana kwa nondo zako...big up!!ume2pa jiwe gizani na limenipata!!
 
Kwani hata wakiacha nanyi mtaacha kujidharau kujiuza na kujitumisha?Mkijitambua ndipo utu utawajia.CCM ni ya kupiga chini wehu nyie.Mnajifanya mna akili na kujiita wasomi wakati hamuwezi soma habari na kuzielewa.Mkipewa mishikaki mnatgwa km panya.

We ndo mwehu...mana huelewi chochote ila kukoxoa serikari tuu..🙂🙂
 
Kwa hiyo wewe unaona ni haki hawa vijana kutopewa pesa ya field? Acha kutetea uozo wa hii serikali dhaifu ya ccm isiyojali wananchi wake
 
Tatizo ni vijana wengi hawajitambui ndo maana wanatumika vibaya na viongozi wa siasa na kushabikia wanasiasa bila hoja ya msingi mwishoni wanabaki kulialia ili waonewe huruma dunia ya leo si ya kulia ili kuonewa huruma ni dunia ya kujua haki yako ya msingi na wajibu wako
 
Back
Top Bottom