Recent content by Kwezere

  1. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Brother umesema kweli [emoji120]
  2. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Kahesabu naye maana unakula genji yako.
  3. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Sadaka anazokusanya anazipeleka wapi?
  4. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

    Nilingia hapo mwaka 2014 siku nne lilikuwa ni Bata na pisi kali watoto wa Kinyarwanda
  5. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz Rs

    Nina Vitz yangu 990 cc ikiwa inatembea nikiwasha ac gari inakosa nguvu na ikifika kwenye kilima inazimika.Tatizo ni nini?
  6. Kwezere

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, je unafahamu hili kuhusu mashoga na ushoga?

    Aisee! Jana nilikuwa Cocoriko Club Arusha kulikuwa na mashoga wa kutosha.Nadhani wametokea Dar
  7. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya Kijichi

    Duh! safi sana Kijichi ndio home tokea mwaka 1988
  8. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

    Pin Point,The Don,Empire Sports Bar, Andrews, Sky Lounge,Mississippi, Bougaloo, Via Via na Cappuccino zote za Arusha ni balaa.Unakula Stereo ya kufa mtu.
  9. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Nimetoka na kavitz kangu Arusha to Dar halafu nikarudi Arusha.Hakuna kupumzika ni mwendo tu.
  10. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

    Hidaya anaishi Arusha mjini maeneo ya Kaloleni jirani na Rift Valley Lodge.Bado kafungasha balaa.
  11. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

    Nina Vitz milioni tano
  12. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

    Nimesoma na Mkuu wa Wilaya ya Longido.Ni mtu wa kujituma hana majivuno wala dharau.
  13. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wa umma sasa kupitia mafunzo ya kijeshi JKT

    Safi sana watumishi wengi wa umma walaini sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kwezere

    JamiiForums Tanzania Queen Darlin hata kama ni ustaa hapa mamaa umezidi

    Mababu zenu walivaa nguo?Utamaduni wa uvaaji wa nguo umeletwa na wazungu ambao nao wanavaa vichupi tu.Acheni kuponda.
  15. Kwezere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

    Nina Tecno y 6 yangu iko slow.Kuna wakati screen inasomeka "jamiiforum is not responding" wait or stop.Tatizo ni nini?
Back
Top Bottom