Recent content by kwetup

  1. K

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Wapi unafurahisha genge
  2. K

    Nauza dish 8 ft coplete

    Mi napita tu!!!Hakuna cha mgandu wala mwamagembe dish halina issue Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. K

    Enzi ulipokuwa boarding

    Duh wadau acha tu Meta sekondari Mby hiyo kulikuwa na mdwanzi mmoja mwl wa nidhamu anaitwa kimatare kila siku yuko ghetin na hakosi kosa mara tai,utasikia mkanda si wa rangi ya shule balaa mtupu ili mradi akupe sitiki. Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Shikamoo pesa!! Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. K

    Wafanyakazi wanatafutwa

    Haibiwi mtu hapa Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. K

    Wafanyakazi wanatafutwa

    Samahani naweza pata email yako nikakutumia cv safety officer Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. K

    Nauza dish 8 ft coplete

    Digital siku hizi peleka kwa mafundi majiko!!! Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. K

    Girlfriend is required

    Duh!!!!unataka mzungu tu???? Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. K

    Teachers‘ Junction

    Habari zenu wadau??mi ni mwalimu graduate niliajiriwa 2011 nikafanyakazi miezi kama saba ktk mazingira halisi ya kazi ya ktz.Nikawa nimepata kazi ktk shirika moja ambalo niko nao bado lkn muda wa kazi zao unakwisha october mwaka huu.kule job kwangu baada ya kunizingua ruhusa nikaacha.Mi...
  10. K

    Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......

    Ndiyo kawaida ya watzwanaoshikilia ofisi sio yeye tu hatahuku kwetu wapo kama yeye undugu.kujuana ,ukabila ndio umetawala
  11. K

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Hawa wanataka kufanya watanzania ni wajinga kiasi gani naona wao wanaweka mbele maslahi ya chama kuliko utaifa na watu wake watafute njia nyingine ya kujinusuru sio kuzuia bunge lisionyeshwe live na 2015 mtatukuta tu mtaani maana sis ndio wapiga kura wenu.
  12. K

    ajira idara tofauti

    Hakuna uhusiano wowote hapo mimi niliajiliwa mwaka 2009 baada ya kuwa nimemaliza chuo nikapangiwa mbozi ndani nikariport nikafanya kazi kama miezi minne nikaona mazingira magumu sana nikamua kuacha nilikuwa nimeshapew cheki namba,mwaka unaofutia nikaomba tena nikapangiwa singida vijijin...
Back
Top Bottom