Recent content by Kwetu Iringa

  1. Kwetu Iringa

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Dhambi kubwa ilikuwa kumkaribisha Kagame na Rwanda yake ndani ya EAC!! Hata Kenyatta atakuja toswa tu coz siyo mtutsi
  2. Kwetu Iringa

    House Girl Akamatwa Akiweka Mkojo kwenye maji ya Chai

    Thank God, mkojo ukichemshwa wadudu wote hufa!! Ila ni kinyaa tu ndicho kinasumbua. Hii inatokana na ushirikina.
  3. Kwetu Iringa

    Jipatie DSTV kwa kutumia AZSKY Dongles

    Inaelekea usemacho ni kizuri, ila maelezo yako siyo clear na ni marefu, hasa kwa mambumbu kama mimi. Be brief and clear. Picha ni muhimu sana
  4. Kwetu Iringa

    Mbwa akiwa kazini

    Du!! Na huyo anayekaguliwa ni mama wa kiislamu. Kunuswa na mbwa si sawa, hasa wakati wa ramadhani
  5. Kwetu Iringa

    Star TV: tuongee Asubuhi; Paul Makonda na tuliyojifunza Zimbabwe

    Huyu dogo bado anajikomba CCM? Duu!
  6. Kwetu Iringa

    Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu

    Mkuu Stefano Mtangoo, Kuna post iliandikwa na Mawenzi. Ilifanana sana na hii ya kwako. Alishambuliwa sana na alionekana siyo mzalendo. Mimi nakuunga mkono kwa sana. Mbona ushauri wako unafanana sana na ushauri ambao JK anapenda sana kuutoa kwa watu/vikundi vinavyosigana??
  7. Kwetu Iringa

    Rais wa awamu ya 5 ni lazima atoke nje ya CCM na ndani ya CHADEMA

    Afadhali mlevi kuliko --------, maana ulevi unatoka bali upumbavu hautoki aslani!!
  8. Kwetu Iringa

    Msaada: Activation ya Office 2013

    Ahsanteni sana Mr Kicheko, C6 na MziziMkavu na wengineo, nimefanikiwa kwa kutumia link aliyotoa Mr Kicheko. Nawashukuru wote. Je hii crack ni permanent?
  9. Kwetu Iringa

    Msaada: Activation ya Office 2013

    Inawezekana sijui kama sijui, mm nilidhani najua. Niliipata moja ikagoma. Nieleweshe mkuu.
  10. Kwetu Iringa

    Msaada: Activation ya Office 2013

    Mkuu C6, naomba unisaidie tafadhali
  11. Kwetu Iringa

    Msaada: Activation ya Office 2013

    Mkuu MziziMkavu, nimekosa, ahsante sana.
  12. Kwetu Iringa

    Msaada: Activation ya Office 2013

    Nime-download TRIAL Microsoft Office 2013 Professional Plus bit 32, na nime-install successfully. Nataka kui-activate. Nime-install Microsoft Toolkit, lakini bado inasema UNLICENSED PRODUCT. Msaada: Nifanyeje wanaJF??
  13. Kwetu Iringa

    Brotherhood Claims Egypt's Interim President is Jewish...

    Haswa! Hili ndilo anguko la Misri!! Wataitisha uchaguzi, na Brotherhood watashinda, rais atakuwa na siasa kali kama za Morsi, atapinduliwa. Itakuwa hivi hivi mpaka Misri tuliyoijua itakuwa siyo.
  14. Kwetu Iringa

    Lowassa acha kauli kama hizi kwani ni hamasa za kuhimiza vurugu

    Huyu bwana mwongo sana! Ati hela atowazo huchangiwa na marafiki zake!! Mbona hawataji hao marafiki zake? Kwani wao hawahitaji kusifika na kushukuriwa? Fisadi mkuu huyu!! Kwa nini alikataa kuulizwa maswali?? Alifuata nini Mwanza?? Kwa nini asiwasaidie machinga wa kwao Arusha??
  15. Kwetu Iringa

    Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

    I am interested. I am in Dodoma
Back
Top Bottom