Bro,hawa jamaa unawaumiza ujue na maneno yako,maana unakuta mtu ana gari ya mil 15,na n loan bank & daily inahtaji mafuta,nyumba ya kupanga,watoto shule,wazazi,kuhonga,sim S5,mpaka hapo kwann asiwe mwiz wa kodi zetu,WANAANGALIA WALIPO Instead ya WANAKOENDA