Recent content by Kwenwa

  1. Kwenwa

    Naomba msaada tafadhali

    Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi wapi na Kama nani. mwenye kujua tafadhali anijuze Natanguliza shukrani
  2. Kwenwa

    Baada ya kuhudumia mtoto nimegundua sio damu yangu. Nimuoe huyu mwanamke nilee mtoto asiye wangu au nimuache?

    Kwanza pole Pili mchumba hasomeshwi ulikosea Sana Tatu tusubiri wenye busara watakuja kushauri
  3. Kwenwa

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nisaidie kwenye kipengele Cha kujaza wilaya, halimashauri, Jimbo na kata Mimi inaniandikia results not found
  4. Kwenwa

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kipengele Cha wilaya, halimashauri, pamoja na Jimbo kwangu havionekani Unakuwaje kwa wale mliofanikiwa Msaada tafadhali
  5. Kwenwa

    Hatimaye nimenyonya papuchi, nimenogewa

    Katika mhayo kawiza shi nehaha Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  6. Kwenwa

    Mahanithi wengi Ulaya na Mabara mengine wanasababishwa na kutokuzingatia kitovu wakati wakiwa wachanga

    Tatizo la kutosimamisha uume alilipata mwanangu nkamgundua akiwa na mwaka mmoja na nusu basi kumshirikisha Bibi ake nlipaata ufumbuzi nikamtibu Sasa yuko vizuriiii mnara unasoma 4gnlifurahi mnooo
  7. Kwenwa

    Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Nimependa busara ya mwanamke mwenzetu....hapo mwanaume atatoa maelezo bila kuhojiwa
  8. Kwenwa

    FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    Weka namba tufanye biashara
  9. Kwenwa

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba tufanye biashara boss Whatsapp 0765770182
  10. Kwenwa

    Jinsi Rafiki yangu alivyogeuka na kuwa shemeji yangu

    Hongera yao na pole kwa wivu
  11. Kwenwa

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Nampa pole huyo jamaa yako
Back
Top Bottom