Recent content by kwemanga2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sumaye asishitakiwe kwa mauaji ya Mwembe Chai na Pemba?

    Weka kumbukumbu vizuri, Mzee ruksa baada ya mauaji ya mwembechai ndipo alipokuja na msemo wa 'RUKSA', anaetaka kula nguruwe ruksa, anaetaka kula nguchiro ruksa n.k.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ilala, Zungu ateuliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge

    Daaaah!!! Kiti kilikua kimepwaya sana, yaani huyu tulia acha fujo amelipoozesha sana bunge
  3. K

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Hapana, mweka hazina ni morama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Mkuu sukari ya kiwandani haifungwi kwenye mifuko ya kilo moja yenye nembo ya "Bwana Sukari"
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Huyu ni mfanyabiashara wa jumla hapa Dodoma, Dodoma hatuna viwanda vya juice wala soda viwanda hapa ni wine na mafuta ya alizeti, huyu alikua ameficha 7bu ni mmoja kati ya wauzaji wa jumla wa sukari hapa Dodoma, nadhani wamepata kigugumizi ni mfadhili wa chama tawala na alijaribu ubunge ila...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Nimesikiliza clip ya mbowe, ana point, kwamba kama nchi itaongozwa kwa matamko ya raisi na bila kufuata utaratibu wa kibunge hakuna haja ya kukaa Dodoma na kupitisha mafungu ambapo baadae raisi atatumia anavyotaka yeye huu ni uvunjifu wa she ria za nchi na katiba, naanza kuona dalili za uongozi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bunge kuwa Upande wa Serikali ni lazima ili tuendelee!

    Duuuuh!!!! haki kali
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli brother kinyonga hivi ana rangi ngapi

    CZI ni kitu gani ndugu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli avuruga wengi

    Cyber crime!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania AJALI: Gari imezama Kigamboni wakati wa kuvuka katika Pantoni

    Ilikua ktk pantoni au ilikua ikvuka darajani?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majipu yaliyotumbuliwa kwa mbwembwe yarudishwa kimya kimya?

    Yule Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma nae nasikia yupo wizarani mzigo kama kawa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Aibu: Mafisadi wataka kuiba mradi wa mabasi ya mwendo kasi

    Daaah!!!!! unagonga za USO mpaka kidhungudhungu, ooh mama Tanzania!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanaotunyima misaada muwaonee huruma

    Huu utakua mtihani mgumu kwa mh. Raisi iwapo haya mlioandika ni kweli
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yajiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rais Magufuli ashuhudia utiaji wa saini

    Sudani kusini kuna misitu mkuu
Back
Top Bottom