:canada::canada::nod::hat::loco::flypig:Halii hii haitavumilika na tunaamini Nyalandu hatasubutu kuuza hifadhi hata siku moja.. kama yeye nchi ni yake peke yake ndo ataweza kuuza.. lakini kama nchii inatawalawila na misingi ya sheria na katiba.. haiwezekaniii[/MENTION]
Huyu ------ ni JANGILI SUGU LA MENO YA TEMBO..... MUULIZENI KUWA KAMA SI HEKIMA NA BUSARA NILITUMIA RUAHA NP. SI NINGEMMALIZA KWA RISASI... MENO A TEMBO ALOCHUA ALIPELEKA WAPI? ----- HUYU MAKAMBA KAMA BABA YAKEE
Machali alikuwa sahihi.. ni mmoja kati ya wabunge wasiopenda kudhulumiwa haki zao wawapo bungeni.... nimefuatilia bunge kwa makini sanaa.... Jenista hafai kuongoza bunge hata kidogo.... ametumwa ku kulinda wakubwaa ambao ni mabwana zakee....
Mbona mnapata shida kujadili haya mambo jamani? Mwigulu Nchemba na Nape ndio waliopanga hili... Na ndo maana walisema kuwa msiende mikutano ya CHADEMA maana mtakumbwa na maafaa! tayari walishatabiri vifo ....
Kinachotakiwa ni kujiandaa kwa mbinu hata kama watauwa watu wengi lakini nchi wataiachia tu wapende wasipendeee. Kuna wanajeshi na wakuu wa masuala ya usalama wapo pamoja nayi na watakuwa tayari kuwasaidia endapo mambo yatakuwa magumu...
Wewe ni mjinga maana ni walewale wanautumiwa na Mwigulu... acha ujinga huijui nchi wewe kamaa na upumbavi wapo kama mwanamke wa kiswahili kuvaa kanga mojaaa.
Kupe weeee.....
Wana jamvini, habari za jioni hii.
Nieamua kuletea taarifa hii ambayo ni evidence ya kwanza kwa Watanzania kujua au kutambua juu ya bomu lililolipuka jana pale Soweto Kaloleni katika mkutano wa chadema uliokuwa unaongozwa na Mh. F. Mbowe na mbunge wa Arusha Mh. G.Lema pamoja na madiwani...
Leo ndo nimeamini ni kwanini JK alisema hakikisheni Tundu Lisu asipate UBUNGE kwa sasa babu huyu jamaa ni Genius.. JK baadaya ya kuweka mikakati alishachelewa kabisaaa na tayari jamaa alishaapishwa kuwa Mbunge.. na sasa JK kinachomla ni Tungu Lisu...
I kumbukwe hata Professor Shirvij alitaamka...
Huwa mimi nawaambia kila kukicha.. hawa wabunge wetu wanawake, japo wengine wamezeekea na wanafaa kuitwa mabibi, lakini hawana adabu hata kidogo, kwanza wanatabia ya kuchukuliana wanaume tena hapohapo bungeni.... Sophia Simba alikula uroda na jamaa anayechukuliwa na Anne Kilango... sasa nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.