Mtizamo wangu, sina hakika na uwezo wa kisiasa wa Waziri mkuu. Pia ninawasiwasi na ushirikishwaji au namna anavyoshirikishwa jambo na nafasi Yake ya kushauri jambo. Je huwa anahisishwa mapema au ametengwa na mambo Yakiharibika ndo yeye anatafutwa kutoa tamko?
Unaudhaifu mkubwa wa namna Ya kuamua...
Kuna mambo ambayo usipo yatazama kwa mbali unaweza ukadhani ni ya mzaha au hayana mashiko, uliwahi kuwaza ukame wa huduma flani iwapo ndugu zetu waislam wataamua kuwa na ibada ya wiki moja mfululizo kuanzia asubuhi hadi jioni na wote wakaitika kufanya hivyo na hasa katika jiji kama hili la dar...
Nimefuatilia comments zote za humu kupitia mada iliyowekwa nimebaini Mbasha anapata umaarufu asiostahili Sijui kwakua wengi wanamwona He looks so innocent ndo wanampaisha sana au aliomba huruma Ya jamii ndo Maana kila mtu anasema Mbasha, Mbasha! Sielewi ila nahisi watu wanajazba na hawajui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.