Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
Yanayotokea Tanzania ni matatizo ya kanisa la Tanzania kuanza kuendekeza watawala kuingilia kazi za kanisa.Ndio maana leo tunashuhudia Kanisa catholic kupingana wao kwa wao.Hii ni hatari kwa kanisa.ujumbe wa kichungaji itakwenda kwenye jumuia? wakati Askofu mkuu anataka waumini wapewe democrasia!.Ndio maana ya kuwepo nyie maakofu ina maana nyie mmepakwa mafuta hivyo mkikaa pamoja uamuzi wenu ndio uamuzi wa kanisa.Nadhani Askofu mkuu alikosea.Mbona wenzenu waislam hawana mchezo inapokuja suala lao.SISI Wakristo tunachambuliwa tu kama karanga.
Tukatae Mahakama ya kadhi kwa nguvu zote,tukatae katiba mpya na pengo aende zake na democrasia yake katika msimamo wa kanisa.Demokrasia kwenye msimamo wa kanisa! sijaona katika Roman! hii ya pengo maajabu,Vipi nyie hamuoni mnaonewa.Daini haki za kupewa majengo ya serikali tuanzishe chuo chetu kama waislam walivyopewa kidatu.Twende sawa kwa sawa.