Kabla ya kucheka na kudharau fanya uchunguzi Ku verify the truth,,,,Quran haikuandikwa as normal books ,, malaika jibril(Gabriel ) alimshushia mtume Mohammad s.a.w akipewa order kutoka kwa Allah ,,,,KUJIRIDHISHA KUHUSU HILO FANYA UCHUNGUZI BINAFSI ,,, hata nuhu aliwaambia watu wake kuhusu mungu...