Swali Kwa ndugu zangu mliyo jaaliwa kuizunguka Africa yetu,hivi hizi barabara za bongo kupewa majina ya waassi wa nchi mbali mbali za Africa mfn Mandela road,Sam nujoma,Kaunda,Kwame Nkuruma namengine mengi, sasa nauliza kama kuna nchi yeyote Kwa africa naweza kukuta Nyerere road?au kiwanja labda...