Kwa wale waliyo zunguka hii Afrika yetu.

Kwa wale waliyo zunguka hii Afrika yetu.

kwangu11

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
32
Reaction score
10
Swali Kwa ndugu zangu mliyo jaaliwa kuizunguka Africa yetu,hivi hizi barabara za bongo kupewa majina ya waassi wa nchi mbali mbali za Africa mfn Mandela road,Sam nujoma,Kaunda,Kwame Nkuruma namengine mengi, sasa nauliza kama kuna nchi yeyote Kwa africa naweza kukuta Nyerere road?au kiwanja labda cha mpira chenye jina la muasisi wetu...?
 
Back
Top Bottom