Nimegundua Jambo Hili Kutoka Kwa Maprodyuza

Selebobo on the beat,Nahisi uyu jamaa ni kati ya best Prod in Nigeria.
 
We done connected the dots, and yeah we gon' kill 'em / make 'em bounce to the beats, and I know you gon' feel them /

They all went in, but Majani flopped on this one.​

 
Hata marais wako fiti kwenye kuimba Example:Museven-You want another RAP
 
Mkuu umenisahau na Mie.Niliproduce na kufanya chorus ya nyimbo ya [HASHTAG]#One[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Nikki[/HASHTAG] @A lot of Wishes
 
Yani nikote aisee hata ma don
Kanye
Wiz Khalifa
Puffy
Dr dre
Jamie Dupri
Pharel
Timberland
The list goes on and on
 
Katika uchunguzi nilioufanya nimegundua kwamba maprodyuza wengi (karibia wote) wanavipaji vikubwa sana vya kuimba,
na endapo wataamua kuingia kwenye tasnia ya uimbaji basi hutoa Hitsong kali sana.
NITATOA MIFANO MICHACHE
Mr. blue Ft Man Walter- Nipende Kama Nilivyo.
-Jay moe Ft P Funk- Famous
-Fid Q ft P funk - Danger
- Mswaki - Open letter(RIP Ngwair)
-Nah Reel( zote)
-Baghdad Ft Isam- Foleni
Roma ft Geof Master- Ivan
N.K
Hiyo ni baadhi ya mifano hai iliyonifanya niamini kwamba Maprodyuza wengi wana Vipaji na hao wachache wamevidhihirisha kwa bahati mbaya bila ya wao kuamua.
Vipi kuhusu yule mzee wa NICHUMU NIKISS MWAAAH:D
 
Back
Top Bottom