Recent content by kwame nkuruma jr

  1. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Kwanini Irene Uwoya haweki picha za Dogo Janja instagram?

    Naomba namba yake please .
  2. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere awajibu wanaolalamika pesa za msiba wa Masogange

    Toka enzi za msiba huyo mtu sina hamu naye
  3. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Maisha club na utoto

    Mkuu ulienda kufanya utafiti kuangalia new Maisha club ,panda zile ngazi uone zilivyo stable
  4. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kumteua Naibu DG wa TISS kuwa Katibu Tawala: Jicho la pili...

    Ukiona taa zime washwa ujue disco lime isha.
  5. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi TANESCO amefariki dunia baada ya kunaswa na umeme wakati akiondoa nyaya zilizokuwa zimekatika

    Pumzika kwa Amani mzee Chande Kipai msiba wake mitaa ya maili mmoja ili zizima na makabulini kulifulika na wakati wa kuondoka kila mtu alitafuta njia yake.
  6. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

    Hivi bilinass na hamisa wao hawana kosa???
  7. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Jana mzee Lowasa leo mchungali msingwa keshooo nani......:.....
  8. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awasili Nachingwea kwa ajili ya mazishi ya Ally Mtopa, mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi

    RIP Mzee Mtopa miaka yote nilikuwa najua una asili ya Nanjilinji Kumbe asili yako ni Nachigwea
  9. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwenyekiti wa zamani wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Mtopa afariki dunia

    Poleni sana Wa a kilwa poleni sana wakazi wa Nanjilinji pole sana Sadati na Watoto wote wa mzeee mtopa
  10. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Faida ya mauzo ya luku kwa mawakala kutoka 2.5 hadi 0.5

    Ina nikubusha misululu mirefu enzi zile kwenye Ofisi za Tanesco wakati wa kulipa bili za umeme kila mwisho wa mwezi
  11. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki-Mbeya, Evarist Chengula: Ujumbe wa maaskofu unawalenga wanafiki ambao wanajidai kuwa Wakristo

    Kawafuta machozi wakazi wa Mbeya kwa matukio ya Sugu na Allen
  12. kwame nkuruma jr

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukaguzi magari na changamoto mpya

    Wakuu hivi ukaguzi mwisho lini ?
Back
Top Bottom