Kutopata choo wakati mwingine kitaalamu ni tatizo linalohusisha utumbo kuziba kitaalamu inajulikana kama INTESTINAL OBSTRUCTION
Sababu inaweza kuwa ni kujinyonga kwa utumbo, au kinyesi kuganda kwenye utumbo, minyoo au mawe yatokanayo na nyongo kuganda,ugonjwa wa ngiri na nk
Nenda hospitali...
Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu.
Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka sasa. Sijawahi kuonana na baba yangu kabisa ingawaje kwa sasa tunawasiliana katika simu, Mama yangu...
Sidhani kama ulikuwepo kipindi hicho
Ila inaonekana hata hujui historia uliyofunzwa darasani
Colonialists did not introduce ugali in Africa.
Ugali ni chakula ambacho ni utamaduni wa mataifa mengi Afrika,
mfano :
-Tanzania na kenya tunaita UGALI
-Uganda wanaita POSHO
-Zambia na malawi wanaita...
Ugali kaanza kula babu na mababu zako wa karne na karne leo hii unaanza kuleta kichaa chako kuwa haufai
Mwanafalsafa mmoja ( Socrates ) aliwahi kusema "I know that I am intelligent, because I know that I know nothing."
Huna unalolifahamu nguvu ya kuzungumza unaitoa wapi?
Tafiti gani...
Hoja ni nzuri lakini unachozungumzia kina ukakasi kidogo.
Tafiti zipi umefanya zinaonyesha Unyanyasaji wa kijinsia unasababishwa na watu wa degree kuliko non-degree huko vyuoni kwasababu wapo watu wanachukua certificate na diploma ( Non-degree) wamekuzidi umri hata wewe .
Kwahio tutegemee...
Inaonyesha una dharau sana na taaluma za watu
Lakini inaonyesha taaluma hio unayoizungumzia huijui na wala haikuhusu ndio maana unaropoka ropoka tu
Misukule hutengenezwa kwa mifumo ya mwanga au mchawi ambaye ndio huendesha taratibu zote
Na kama umeona madaktari ni misukule basi wametengenezwa...
Kama nilivyokueleza mwanzo Degedege si ugonjwa bali ni dalili ya ugonjwa fulani usioujua!
Hivyo kinachotakiwa kutibiwa kwanza ni chanzo kinachosababisha Degedege
Nimekushauri kitaalam tu
Sent from my iris50 using JamiiForums mobile app
Degedege ni dalili ya ugonjwa fulani na heri utambue degedege si ugonjwa!
Kitaalamu degedege hujulikana kama CONVULSION
Hio inaweza kuwa dalili ya magonjwa mbalimbali kama vile Malaria mbaya, Meningitis ( uvimbe katika tabaka la nje la ubongo), kifafa na nk
Usitafute dawa muwahishe hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.