Herbalist Mtaturu
Senior Member
- Aug 17, 2023
- 171
- 264
Chukua utomvu wa mnyara kijiko kimoja koroga kwenye uji kikombe kimoja kisha kunywa
Mwisho apate Bawasiri, LolHata ukiamka asubuhi ukaanza na maji esp ya vuguvugu hukipati?
1 week nzima usifanye mchezo ukaja kusababisha maradhi makubwa