Recent content by kwala1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha baridi kali sasa ndio kitaamua mshindi kivita kati ya Ukraine na Russia

    Wanadhani shule kwa ajili ya kupata kazi tu😀😀
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina miaka 30

    K Umeweka vigezo vyako tu ila na mimi ninavigezo nyangu dada, je na ww Bikra?😀
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

    Pole sana kwanza ndugu, inabidi tujue uyo mtoto ambae mkeo alizaa akiwa secondary ana umri gani, maana mwanamke ndo anaamua muda gani azae, pia next time usikubali kuanza mechi moja bila, mungu atakusaidia.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yanga kuchanika kwa jamvi siyo mwisho wa maongezi, 'overconfidence' imewamaliza leo

    Tatizo sio yanga, tatizo team iliyocheza nayo😀😀 wamecheza na team bora ya africa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

    Lawama hazinamaa mpira tumeangalia, mjipange kwa game inayofara
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Amerecord alafu kamepost kamejikuta kajanja haya saiz dishi limekaa sawa anajuta.
Back
Top Bottom