Natafuta mume, nina miaka 30

Natafuta mume, nina miaka 30

Unatafuta mume wakati sasa hivi ndoto za wanaume karibu ya wote ni kununua mdoli wa Elon Musk, nani anataka stress? Mdoli hana maradhi ya maambukizi, haombi hela kila kukicha, si mbea na anapokea dushe bila kupiga mayowe, hanuki makwapa na sehemu za siri, hajichubui, na harogi.
Hahaha nicheke Mie. Huyo mdoli sh.ngapi?? Mdoli ni mdoli na mtu ni mtu bhan!!
 
K
Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi a
Umeweka vigezo vyako tu ila na mimi ninavigezo nyangu dada, je na ww Bikra?😀
 
Hakuna wanawake wahuni kama Wanyamwezi, hawa ni jamii ya Wanyiramba na kwa uchawi hawajambo.
 
Back
Top Bottom