Matusi ya nini tena hapa? Mbona una jazba hivyo ndugu? Wanaokosoa uamuzi huo si wanatoa na mawazo mbadala au we husomi comment za watu mbalimbali humu?
Ni kweli haikuwa designed kutumia miguu yote miwili lakini kama utajaribu na ukazoea nakuhakikishia hutoacha kutumia miguu yote miwili unapoendesha hasa maeneo ya mjini ambapo magari ni mengi na vurugu kibao barabarani, kuchomekeana n.k. Ni kama anavyosema Mshana utaepuka ajali kibao.
Hizo unazoita nyumba ndio dizaini ya vituo vya mabasi ya mwendo kasi. Staili ya mabasi haya haijaanzia bongo, ipo pia miji kadhaa ya Amerika ya kusini kama Santiago, Lima miaka mingi tu
Mi nimepata kutumia tecno phantom A+ kwa karibia miaka miwili mpaka nilipoichoka na kuigawa kwa ndugu yangu. Ilikuwa poa sana na mpaka sasa ipo hivyo. Niliyempa amebadilisha betri tu wiki iliyopita
Nauliza kwa mwenye ufahamu gari aina ya Nissan e-trail matumizi sahii ya button ya 2WD unapoibonyeza gari itaendelea kuwa kwenye hiyo mode hata kama utasimama kwa muda na kushift toka D mpaka N au P na kurudi tena D ili uendelee na safari yako?
Kama ilikutokea kweli pole sana mkuu. Lakini baadae ulijikagua vizuri? Isijekuwa ulikuwa kwenye ndoto maana ndoto ndo zinavyokuwa unawaona watu vizuri lakini baadae kidogo wala huwakumbuki tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.