Mambo kumi usiyoyajua kuhusu KUPUMUA

Mambo kumi usiyoyajua kuhusu KUPUMUA

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
1. Mtu mzima anapumua mara 23,000 kwa siku.
2. Kazi kubwa ya kupumua sio kupata oxygen, bali kuondoa kabon dayoksaidi.
3. Kupumua kwa kutumia mdomo ni hatari kwa afya yako.
4. Unavyopumua kwa kasi ndivyo inavyozidisha njaa na acid kwenye mwili wako.
5. Unatakiwa kufanya mazoezi kwa kiwango ambacho utaweza kupumua ukiwa umefunga mdomo.
6. Pua ina ngazi nne za kuchuja hewa inayoingia, ukipumua kwa mdogo inaenda moja kwa moja kwenye ngazi ya nne.
7. Kama mapafu yako yangetandazwa yanafiki ukubwa wa uwanja wa tennis.
8. Kupumua kunaendeshwa na mfumo wa fahamu usio wa hiari(involuntary).
9. Ukijizuia kupumua unaongeza kabon dayoksaidi kwenye mwili.
10. Ukijizuia kupumua unatibu kwi kwi.
 
Hilo la kumi ndo njia yangu ya kukata kwikwi tokea kitambo, ila mie huwa najizuia kwa kujaza maji mdomoni na kumeza kwa dk kama 3-5 mfululizo bila kuvuta hewa.
 
Hiyo Namba 7 waliwahi kwa mapafu ya nani?
 
Hilo la kumi ndo njia yangu ya kukata kwikwi tokea kitambo, ila mie huwa najizuia kwa kujaza maji mdomoni na kumeza kwa dk kama 3-5 mfululizo bila kuvuta hewa.
dk au sec maana dakika tatu nyingi kwenye pumzi
 
Siyo kwenye michezo na maji

Aise maji ni noma, kama hujui kuogelea unakufa kwa shida kinyama, angalia maiti zilokufa maji zilivokakamaa, we bora ujifunze kuogelea tu, unless labda kama ushapanga hutokuja vuka bahari au ziwa, vinginevyo, jifunze usipatwe na uoga siku unavuka alafu hujui kuswim.
 
Back
Top Bottom