Recent content by KVM

  1. K

    JamiiForums Tanzania Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

    Makaa ya mawe yameongeza sana kipato cha mkoa ijapokuwa wananchi hawaoni hizo pesa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Kiswahili kibovu kabisa - enga, ako, apana etc.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Hili linaweza kuwa ni jibu zuri kwa aliyeanzisha uzi huu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Watoze per day on what?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    Uhuru upo. Nani ana regulate bei ya ndizi, n.k.? Sema tu kwenye suala la vyakula suppliers wapo wengi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

    Lori la zamani la Box 2 na karibu secondary schools zote ilikuwa ni Ford long base.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Magdalena Mayanka Chami, kipanga wa Holly Family Girls Sec School

    Answer the question.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Naogopa kuwa sheria itakayokuja ni ya kulipisha wote wanaomwagilia mashamba yao.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Njombe parachichi zinapandwa wakati wa mvua nyingi. Mwaka huu mwezi March nilipanda miche 1500 ilikufa mitatu tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Wapangwa ni kabila kubwa. Lipo Wilaya ya Ludewa. Filikunjombe alikuwa ni mpangwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Wapangwa na Wabena ni watu wa Njombe
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Sekondari mfundishaji si mtahini. Chuo kikuu mfundishaji ndiye mtahini. Wapi ni rahisi kutumia pesa upite?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Wakurya wana ukatili uliopitiliza hasa kwa wanawake. Nimeliona hili kwa miaka mingi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo traffic

    Kwa nini zisiweze? Zinaweza kufanya kazi nzuri kuliko binadamu
Back
Top Bottom