Yuko wapi Magdalena Mayanka Chami, kipanga wa Holly Family Girls Sec School

Yuko wapi Madgalena Mayanka Chami, msichana mwenye akili sana pale holy familiy girls sec school. Alikuwa anawakimbiza hadi wachina na wahindi mbaya mbovu. Masomo yote hajawahi pata chini ya A
Kwa hio wewe kipimo cha akili ni kuwapita wahindi na wachina?

Nani alipima akili yake na kuthibitisha kuwa ana akili sana. Kupata A ndio kuwa na akili sana ?

Hakuna mtu mwenye akili sana kuliko mwingine, unaweza ukafikiri ana akili sana kumbe hawezi hata kutunga mashairi au kuimba au kucheza mziki au kupiga gitaa.

Albery Einstein mwenyewe amenukuliwa akidai hesabu zinampa shida hivyo. huwezi kuwa na akili sana kuliko wengine bali unaweza kuwa na akili sana kwenye eneo fulani na mwenzio akakuzidi eneo jingine.

Kwa hio ungekuwa specific kuwa anawazidi kwenye nini, je aliwazidi kila kitu kuanzia mathematics,science,social sciece,sports and arts , language,creativity nk ?
 
Mzee mbona hueleweki?
 
Mkuu hii nchi ina vipanga wengi sana waliokuwa wanapata hizo A huko sekondari, ile sekondari ya waschana pale mbeya imefyatua vipanga karibia mia moja mwaka huu pekee......
Answer the question.
 
Alijiunga UDSM.pale.alisoma BA in Statistics
 
Attachments

  • 20190820_070914_Advert round one cleared 2019-2020.pdf
    2.9 MB · Views: 13
Kwa hio wewe kipimo cha akili ni kuwapita wahindi na wachina?

Nani alipima akili yake na kuthibitisha kuwa ana akili sana. Kupata A ndio kuwa na akili sana ?

Hakuna mtu mwenye akili sana kuliko mwingine, unaweza ukafikiri ana akili sana kumbe hawezi hata kutunga mashairi au kuimba au kucheza mziki au kupiga gitaa.

Albery Einstein mwenyewe amenukuliwa akidai hesabu zinampa shida hivyo. huwezi kuwa na akili sana kuliko wengine bali unaweza kuwa na akili sana kwenye eneo fulani na mwenzio akakuzidi eneo jingine.

Kwa hio ungekuwa specific kuwa anawazidi kwenye nini, je aliwazidi kila kitu kuanzia mathematics,science,social sciece,sports and arts , language,creativity nk ?
Umemaliza huu thread closed
 
Back
Top Bottom