Recent content by Kv100

  1. K

    Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

    Jela haijawahikuwa sehemu salama. Wanaweza kukumalizia hukohuko.
  2. K

    Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

    Utekelezaji wa idea yako na mengine mengi ya kulikwamua taifa kiuchumi primarily unategemea na utayari wa viongozi wetu (political willingness) ambayo kimsingi haipo. Tanzania ina resources nyingi sana ambazo iwapo zingetumiwa sawasawa uchumi wetu ungebadilika(to the better) shida ni utayari wa...
  3. K

    Dkt. Mwigulu: Tutajenga maghala makubwa ya kuhifadhia mafuta ambayo tutahifadhia siyo mafuta yetu tu bali pamoja na ya nchi jirani!

    Hamna waziri hapo. Tujiandae na ugumu wa maisha na inflation ambayo hatujawahi ona..
  4. K

    Dkt. Mwigulu: Tutajenga maghala makubwa ya kuhifadhia mafuta ambayo tutahifadhia siyo mafuta yetu tu bali pamoja na ya nchi jirani!

    Kwahiyo huu ndio mkakati wa Tanzania wa kukabiliana na upandaji wa bei za bidhaa ??
  5. K

    Rais Samia kutembelea Marekani, Aprili 13, 2022. Diaspora wahamasishwa kumpokea Uwanja wa Ndege

    Nadhani hili ni kujumu la serikali kutambua uwepo wao na mchango wao kwa taifa na si lazima sana kwa wao kujijengea hoja au kujitetea kwani under globalization,dual citizenship si hoja ngeni hata within EAC ni sisi na Burundi ndio tuliobaki rigid na ku-uphold sheria za zamani za kuwakana ndungu...
  6. K

    Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

    Nashauri haya yanayomtokea Makonda na yaliyompata Sabaya yawe ni case study katika vyuo vya uongozi wa taifa maana watanzania wote wameshuhudia before their naked eyes the quick rise and fall ya hawa ndugu kwa kulevya na madaraka. Personally , sina ushauri wa namna ambayo anaweza kukimbia...
  7. K

    Rais Samia kutembelea Marekani, Aprili 13, 2022. Diaspora wahamasishwa kumpokea Uwanja wa Ndege

    This time around Diaspora wambane atoe maelezo yaliyonyooka kuhusu kutambuliwa kwao - dual citizenship or special status nasio kuishia kupokeana na kupiga picha.
  8. K

    Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

    Propaganda!! Kwani mara ya mwisho wewe kumuona au kuwasiliana na bwana Alexander Bespalov ni lini? Mwambie ajitokeze adharani ili tuamini kuwa hizi ni propaganda.
  9. K

    Kwanini Afrika Mashariki tusiwe nchi moja na Rais mmoja?

    Kinadharia ina sound vema sana kakini unapokuja katika uhalisia ni ngumu sana. Siasa za nchi za jumuiya ya EAC ziko tofauti sana. Mathalani mpaka leo chaguzi za uraisi Kenya bado ziko based on ukabila, South Sudan halikadhalika. Ukija Uganda na Rwanda kuna harufu ya kuanza kwa utawala wa kifalme...
  10. K

    Hoja ya Gwajima nchi kukosa maono kwa sababu ya kila Rais kuja na lake ni uongo mkubwa

    Nadhani usahihi wa jambo hili ni kuwa combination ya hoja ya Ngwajima na ulichokieleza wewe ndio solution kwani unapokuwa na mipango ya kitaifa ya muda mrefu ambayo utekelezaji wake unaratibiwa ,kunalindwa na kusimamiwa na taasisi imara hapo ndipo unapopata matokeo chanya regardless ya nani yuko...
  11. K

    Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

    Ametengeneza au ameunganisha kwakutumia assembly kit!
  12. K

    Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Bado ni Fossil fuel, end of the day ina mchango wake katika kuongeza Co2 na methane kwenye atmosphere.
  13. K

    Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    "Zakuambiwa, changanya na zako". Mbona hawakuandamana wakati Mrusi anajenga bomba la gas kutoka Russia mpaka Europe? Hawa watu ni kichefuchefu. Bwawa la umeme la Magufuli wanamazigira wa Ulaya walilikataa vilevile. Leo hii ukisema tujenge vinu vya nuclear kwaajili ya kuzalisha umeme...
  14. K

    Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Waafrika especially weusi wanabaguliwa karibu kila mahali duniani iwe China, Europe, America, Russia, uarabuni, india etc tofauti ni viwango tu. Pengine unijibu kuna sababu gani ya msingi inayo justify mauwaji ya raia wa kawaida wa Ukraine yanayofanywa na Russia?
Back
Top Bottom