Recent content by kuz

  1. K

    manchester citty vs arsenal

    Hiyo tuzo aguero kapewa ya nn?
  2. K

    Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Hata wakipita kimyakimya ilimradi ujumbe wameupata Na hatutachoka kuwaelekeza
  3. K

    Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Kumekuwepo na watu ambao wao kila jambo linalofanywa na upande mwingine kwao siyo jema(nyumbu hao) Rais ameamua kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri wao wanaona amekosea wakati mpaka kiongozi wao Mkuu amepongeza(Nyumbu hao) Kadnari Pengo kaamua kufafanua kauli ya askofu wa Rulenge kuwa...
  4. K

    Msemo wa Nyumbu na maisha halisi ya watu.

    Kumekuwepo na watu ambao wao kila jambo linalofanywa na upande mwingine kwao siyo jema(nyumbu hao) Rais ameamua kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri wao wanaona amekosea wakati mpaka kiongozi wao Mkuu amepongeza(Nyumbu hao) Kadnari Pengo kaamua kufafanua kauli ya askofu wa Rulenge kuwa...
  5. K

    Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

    Usishikiwe akili,au hujasoma kuwa ameongea na kukubaliana na wamiliki
  6. K

    Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

    Pole kwa roho mbaya uliyonayo,utakufa kabla ya wakati
  7. K

    Aminini nawaambia "The World is Not Fair".

    Ujinga wako tena una Bahati badala ya kukomaa upate shavu unaanza kukomalia BUMUNDA!! Brother kaona utahamia hata kwa Mke wake maana ni tabia yako!! Kingine hyo shombe anaweza kuwa Mali yake!
  8. K

    Mshangao: Mambo ambayo watanzania wasio wazalendo wangependa kuyasikia

    Unataka serikali iliyo chini ya nn ndo uwe mzalendo?
  9. K

    Hakuna maumivu kama ya nyumba kuwekwa alama ya X

    Ona ulivyo mpotoshaji kwani amekwambia sheria zimekiukwa? Kila kitu kupinga tu,unakoelekea utapinga watu wasile....MTU hajasema kaonewa au la anachosikitika nyumba imewekewa x,hatujui kama yeye ndo alijenga vibaya ama serikali imemuonea,na taratibu za kufuata zipo!! Siyo ww uliyeshikiwa akili...
  10. K

    Mshangao: Mambo ambayo watanzania wasio wazalendo wangependa kuyasikia

    Ndiyo uwezo wa akili yako so sitakushangaa!!ndivyo mlivyo
  11. K

    Mshangao: Mambo ambayo watanzania wasio wazalendo wangependa kuyasikia

    Ni jambo la kushangaza sana kuwa baadhi ya watanzania wajinga,tena wachache wakiamini wapo wengi na wana kundi kubwa,wangependa kusikia mambo yasiyokuwa mazuri tu kwa Taifa letu!!! Kweli ni mshangao Furaha yao ni kusikia Tanzania imeshindwa mazungumzo ya makinikia tena watawahi kuanzisha...
  12. K

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Halafu utakuta tukiuliza jambo kama hili wanatokwa mapovu,sijui hata akili zilishawaishia hawawezi tena kuwaza
  13. K

    Kamati ya bunge inayochunguza shambulio la Tundu Lissu kutoa ripoti kesho

    Chadema hawajielewi,wanachotakiwa kukumbuka Tanzania ni kubwa kuliko Lisu!!
  14. K

    Tuwe makini wanasiasa wanatuchonganisha

    Andika ambao sio upupu,mbona unatokwa povu kama mgonjwa wa kifafa
  15. K

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Kumbe Siku ile hakuzungumza tulidanganywa,kama Leo kazungumza kwa Mara ya kwanza!!
Back
Top Bottom