Recent content by kuuuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ninawashwa kwenye mrija wa kutolea mkojo na korodani zinauma

    Jamani wanaJF polen na majukumu ya dunia hii"" lakin all in all ni kupambana na kuhakikisha tunafikia malengo yetu, moja kwa moja kwene mada; Nina shida ya kuwasha kwenye mrija wa kukojolea, pana washa mara ingine asubuhi ukiamka unakuta usaa kidogo kwa boxer na hii inatokea hasa nikifililiza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke

    usisahahu mwnamke ndo kiumbe pekee anaechongnisha wtt na baba wasipendane apendwe yy tu"
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa au matibabu gani kupona ugonjwa uliokusumbua kwa muda mrefu?

    mi nasumbuliwa na vidonda mdomon"" mara kwene ulimi,, kwene ngoz unaweza ukahis pengne umejiuma lakin hakuna jaman,, vinapona mata vinalud tena nifanyeje sasa ngoma nimepima hakuna!!
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    kapime uwe na uhakika wa maisha mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mikoa mitano yenye watu wengi zaidi

    kwan arusha vip?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    pumbv kwel aliekwambia democrasia inaleta maendeleo ni nan?... hebu twambie maana ya democrasia....et marekan na ulaya hujuw hata chchte,,,
  7. K

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura amuapisha kamishina Suzan Salome Kaganda

    ila polic jaman saiv daa wamezid rushwa jaman iwiiiiiii
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miaka inavyozidi kusonga ndivyo waafrika wanazidi kuwa wapumbavu

    africa mpk tupate kiongoz mwenye mamuz magum"" na tukamukubali kwa miyo yetu yote na kumuunga mkono tukaacha umimi,, mbn tunatusua,, tulimpata jpm,, r.i.p mr presder"huyu ndo alikuwa mwamba mwenye usubutu na malengo ya badae,, acha hawa wapenda asali na watakja hapa kuattack!!kwa hii na viongoz...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Miaka inavyozidi kusonga ndivyo waafrika wanazidi kuwa wapumbavu

    ubinafsi mwing ila pia hatukubali vya kwetu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakilipwa mafao yao wenye vyeti feki wewe unapungukiwa nini? Tuache roho mbaya jamani

    walipwe tu ila na ss wenye taass za mikopo tunawasubili watulipe hela zetu' tena hawataamin lazima walipe madeni yao,,,, unalipwaje mafao nikakuacha salama kat ulisimama na mkopo,,,,tunabanana hapahapa... hii neema tufaid wote
  11. K

    JamiiForums Tanzania Floppers Players wa Simba dhidi ya Azam FC

    kavuluga sana"" jinga huyu leo!! banda,, sako na kibu sijuw alikuwa haoni"" kipind cha kwanza walikuwa wap hawa wt" anauz sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Alama alizoacha Hayati Magufuli zinaonyesha kuna " MTU fulani" aliishi hapa Duniani. Hayati Magufuli ni zaidi ya Nyerere

    fatilia tu,, magu kila kona alihubili kurasa no.... ya ccm inasema nn na ndo hiyo aliyokuwa anaifuata sasa ukisema alitangiliza sifa bnfs nakyshangaa mkuu""all in all alijitahid kuweka mambo sawia
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yanahitajika Maombi ya kitaifa kwaajili ya January Makamba na Wizara ya Nishati!

    mshana njoo utupe majibu""maana ulituaminisha kuwa serikal ya awam ya sita inafanya vzur sana na inatimiza kila kitu kwa wananch wake"" na tukakuunga mkono,,sasa tunakumbuka awam ya tano boss"" njoo hukuuuu!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    tutaamini vip ka orexy ni hujautumia kwa sik 3 ndo ukapima?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ukiepuka zinaa huduma yako itafika mbali

    hakuwahi kuwa na hekima""soma bible fresh..
Back
Top Bottom