Recent content by kuti kavu

  1. kuti kavu

    Ethiopia nao wamenunua ndege za mapangaboi kama za Tanzania

    hahahahahahahahahahahaha
  2. kuti kavu

    Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    nina maswali machache kuhusu FOREVER LiVING PRODUCTS.Hizi bidhaa kila kukicha napata sms,simu matangazo kuhusu umuhimu ktk afya n.k maswali yangu ni: 1. Kuna wangapi wamefaidika kiafya hapa nchini kutokana na kutumia bidhaa hizi (kwa mf kupungua uzito toka kilo mia mpaka kilo 70)??? 2. je...
  3. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hatari sana
  4. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    yaani hahahaha kikombe cha kahawa kinahusika
  5. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    walau kesho naweza kuingia ifisini kifua mbele...usiku mwema wadau
  6. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    na ninavowajua uefa k last 16 laxima watatupanga na Barca au Bayern 😔😔😔😔😔
  7. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    2-0 wat a goal from sanchez i just hope we acan protect the lead
  8. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    tatizo ni kuwa je tunaweza kulinda ushindi tangu tuongoze tatu bila halafu zikarudi zote tatu....moyo wangu umeingia ganzi
  9. kuti kavu

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    hii pAp ni mrija wa wizi
  10. kuti kavu

    Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    nadhani hatuhitaji waende likizo ya kutafuna mabilioni waliyokula tunataka fedha irudi na sio kwa staili ya fedha zitapelekwa kwenye kujenga maabara NO tunataka kuziona zikiwa kwenye akaunti kuwa zimerudishwa😡😡😡😡😡😡😡😡
  11. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kwa kweli mimi nimeshajikubalia kuwa msimu wa epl kwa arsenal umeshaisha na naanza kuamini kuwa mpka wenger atakapoa amua kuondoka ndo labda unafuu utaonekana
  12. kuti kavu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    tbc taifa wanarusha online lakini tayari bunge limeahirishwa mpaka jioni
  13. kuti kavu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    huku kwetu pia hakuna umeme
  14. kuti kavu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    naona kama hii miongozo inatumalizia muda waanze tu kujadili hoja
  15. kuti kavu

    Jinsi tunavyoichafua Tanzania sisi wenyewe!

    ++TAARIFA HII IMETOLEWA KWENYE GAZETI LA UINGEREZA LA DAILY MAIL LEO++ (Tribe of Ghosts: Jacquelyn Martin's pictures of albinos in Tanzania | Mail Online) Tragic plight of the 'Tribe of Ghosts': Inside the centre where Tanzania's outcast albinos find refuge from murderers who kill them...
Back
Top Bottom