Recent content by Kutakuta

  1. K

    Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Angalia kama hii mbinu yangu ita-apply kwako. Mimi nina 43 yrs, kwenye ndoa yangu nina watoto watatu, wa mwisho ana 9 yrs na kwa sababu maalum ya kiafya, wife alifunga kabisa uzazi alipozaliwa huyo mtoto wa mwisho! Nilichepuka na binti ambaye anafahamu kila kitu nyumbani kwangu maana ni jirani...
  2. K

    Tendo la ndoa nje ya ndoa

    Kwa hiyo kwenye hiyo ndoa yako hivyo vyote vipo? Yaani matango, mihogo, karoti, Kibamia, bamia kubwa na ndogo, dahh CV yako imeshiba sana hongera
  3. K

    Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

    Wewe jamaa siku nyingine ujipange vizuri unapotaka kutunga stori au chai kama hii. Hiki kisa kama ni cha kweli basi wewe una shida katika kupangilia maelezo yako. Vinginevyo, mambo kadhaa hapa ni ya kutunga tu na kuyaunga unga, mfano mkeo kaenda mkoani, mara karudi bila taarifa, mara mke wa...
  4. K

    Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

    Unashangaa nini? Inawezekana alianza kuzaa akiwa na miaka 18. Mpaka 30 ni miaka 12 ambapo watoto watano ni wastani wa mtoto mmoja kila baada ya miaka miwili! Kuna uwezekana pia round moja ikawa ya mapacha!
  5. K

    Vijana wenzangu, nani aliwaambia kunyonyana ndio mapenzi?

    Kwa wanaume ambao wananyonya K ndo siwaelewi kabisa, nadhani atakuwa amevuta bangi au kuna nyaya zimekatika kwenye mfumo wake wa fahamu. Kwa upande wa wanawake wanaonyonya dushe, angalau dushe liko kwa nje, uwezekano wa harafu ni mdogo. Lakini kwa ujumla wanawake wengine sijui akili zao zikoje...
  6. K

    Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Kwa kweli huyu aliyemjibu Mauki ninampa big up! Sasa Mwanasaikolojia gani (phd???) hata hakai chini akachambua andiko lake na ku-balance maelezo yake? Hapo angetumia hata neno baadhi ya wanaume! Kwa ujumla kuna baadhi ya phd holders ni phd za kukariri na kusoma literature kibao na data za kupika...
  7. K

    Waziri Kabudi, kabugi tena

    Kasome tena kabla hujauliza swali. Au neno kubugi ndo shida kwako? Japo sina hakika kama ni kiswahili sanifu, lakini ni neno la kawaida na limezoeleka, linatumika na linaeleweka sana!
  8. K

    Huyu jirani yangu wa kike ananipenda

    Ni kweli mkuu. Si unaona hata kureply kwenye hizi comments za wadau hapa anashindwa. Anafungua tu kama ana-quote lakini haandiki chochote
  9. K

    Bodaboda na wake za watu

    My rule: mwanamke wangu sikuruhusu kumtumia sms boda au bajaji au dereva taxi. Kama huwezi kupiga niambie nimpigie mimi. Dah wewe jamaa mbona unaongea kama mwanamke tena sasa. Kwani anakuomba ruhusa wewe kabla ya kutuma hiyo sms??
  10. K

    Bodaboda na wake za watu

    Hapo umen . Samahani lakini dada, mimi hapo nina mashaka na seriousness yako kwa majibu yako hayo. Unamjibuje ndiyo? Hapo tayari unavutia ukaribu na mazoea. Hata kama mnasema wengi wao hawana akili, hakuna mtu ambaye hana ufahamu kiasi hicho kama anaweza kuendesha bodaboda. Mpaka akuambie...
  11. K

    Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

    Una mpango wowote wa kumla tunda?
  12. K

    Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

    Lend only when you can afford to lose
  13. K

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Na akimtakalia huenda ndo hawa ukubwani unasikia kijana kambaka mama yake kwa imani za kishirikina kumbe pengine ilianzia huko utotoni. Wazazi watafute tiba za hospitali au miti shamba ya kufukizia mtoto atapona tu. Na kama haponi bora abaki hivyo hivyo ndivyo Mungu alivyoamua awe kuliko laana hizo
  14. K

    Naombeni msaada wa haraka kuhusu huyu mwanamke

    omba namba yake simu, mtumie sms ya salamu tu saa nane usiku. Siku ya pili mpigie saa nane usiku, akikuuliza mwambie hujalala kabisa ulikuwa unamuota yeye tu kwa miezi hiyo yote miwili. Pima majibu yake, yakiwa mazuri endelea. Yakiwa ya nyodo mwambie haya sawa, kaa kimya mpaka aanze mawasiliano...
Back
Top Bottom